Home Search Countries Albums

Nionjeshe

NAY WA MITEGO Feat. BEST NASO, NINI, MTAFYA

Nionjeshe Lyrics


Ooh mamacita eeh
Mi napenda ulivyoumbika eeh
Ona umenishika eeh
Umenishona palipo chanika eeh

Beiby my moja number (Number)
Chumbani nina moja kanga (Kanga)
Nyoka kazama kwa pango
Chachando changanya na ganga

Ah kiuno fulani kiko bam bam
Nipe kitu tam tam zaidi ya bubble gum
Chumbani shangwe mashamsham
Nikipiga one touch tuna kam kam

Hawapendi niwe nawe nimebaini
Hawajui tumesign
Napata vitu kama wine
Baby chunga usinitoe kwenye timing

Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo

Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe

Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko

Wakileta maneno hapa nimezaliwa misemo
Beiby kata kiuno imumunye kama vile hauna meno
Mama mia, panda nikishuka ng'ang'ania
Ikisimama basi ning'inia
Napenda  unavyosema unaisikia

Toto ni matata Ha!
Ngoja kwanza nikugoogle
Simu yangu full charge full bundle
Shape nayo sio Bongo
Melody tamu kama refa wa Congo

Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo

Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe

Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko, koko baikoko

Zungusha eeh, mwagika saga
Shusha kidogo pandisha, saga
Zungusha eeh, mwagika saga
Zungusha eeh, mwagika saga

Anasema anaisikia, saga
Tamu ka nimeichanjia, saga
Guu la soda changanya bia, saga
Anakula mboga na ua pia, saga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Nionjeshe


Copyright : (c) 2020 Free Nation.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE