Home Search Countries Albums

Pombe Sio Chai

SONGA

Pombe Sio Chai Lyrics


Haiuzwi kwa under eighteen
Buda usije ukampoza mtoto
Kama unadozi kunywa hata soda ndogo
Mdogo mdogo sio kreti libaki empty
Utajikuta umelost bwana mdogo
Imebaki chenjii
Ukaleta tu madrama kutapika ni upimbii
Tulisema tule nyama ukapiga magimbii.
Ukalainisha na mtindi today vipi kwani
Ukitaka kuleta ugomvi utachapika kwa mlinzi
Pombe nzuri uwenda na mangoma kwenye hewa
Warembo wakali pian yama choma kamangekewa
Kama ulikuja ukaona kawaida
Saa umeanza kuona kila waiter mzuri
Nenda home umeshalewa
Kama ujatosheka basi ludi na kesho
Ukiwa uwezi tungi cheki movie tu ghetto
Watu wana have funny
Mpaka kuna kucha
Wengine wameshalewa waaita mama nakufaa

Nasema pombe sio chai chai chai chai
pombe sio chai chai
Nasema pombe sio chai chai

Nitabaki kuwa juu kama
Liquid au pesa
Vyombo burudani wala sinywi kwa preshaa
R.I.P zizi na machizi waliosepa
Na mwaga pombe chini ni
Pumzike ni kivesha(aah)
Na furahi kuona mna furahiii
More than
Kwenye uchi utakuta binti
Kazima kwa kona(ah!)
Tupeane nafasi maisha ni yapo kasi
Sister duu cheza nami ila
Usimisachi
Niko busy na cash
Usiulize iko wapi
Jiulize uko happy na party
Nawa shikaji ambao upo
Nao kila wakati
Acha nilewe maana am so happy
Maisha ni yangu mwenyewe
Kwani tupo wa ngapi
Acha nilewe maana am so happy
Maisha ni yangu mwenyewe
Kwani tupo wa ngapi

Nasema pombe sio chai chai chai chai
Pombe sio chai chai
Nasema pombe sio chai chai

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Pombe Sio Chai (Single)


Added By : Preslie

SEE ALSO

AUTHOR

SONGA

Tanzania

Songa a.k.a  Niite Songa  is a Tanzanian hiphop artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE