Home Search Countries Albums

Taifa Letu Lyrics


Iyee iyee, iyee iyee
Taifa letu, nyumbani kwetu
Tumepewa na mungu, fahari yetu
Hazina yetu, tumejengwa kindugu
Utu wetu, lugha yetu
Alama ya tunu zetu, aridhi yetu
Urithi wwetu, zilikofichwa mali
Akulinde mola, akulinde
Alinde
Mipaka yako (akulindee mola
Akulinlde) mola

Tumeishaionja Tanzania ya leo
Tumekula vya kwake
Tumekunywa vya kwake
Tanzania ya jana
Ilitengenezwa na wa jana
Tumeifaidi leo, kwa kaz walio fanya
Tuwatengenezee wale wajao waikute waikute iko salama
Tanzania ya neema
Tanzania yangu nakupenda, nakuombea
Akulinde mola, akulinde
Alinde
Mipaka yako (akulindee mola
Akulinlde) mola

Kinachoipa fahari nchi yetu
Sio pekee milima mbuga na wanyama
Bali mioyo inayoona fahari
Yakuitwa mtanzania mzalendo (ooh ooh oh)
Kinacho ipa ukubwa nchi yetu
Si mipaka pekee wala wingi wawatu
Ila ni moyo wa kukubali kufa
Kwakupigania masilahi yake
Akulinde mola, akulinde
Alinde
Mipaka yako (akulindee mola
Akulinlde) mola

Alinde watoto wako wote (akulindee mola
Akulinde) iyee iyee iyee
Akulinde mola, akulindee)
Nchi yangu (uhoo oh)
Mola kumbuka damu na machozi
Ya waliptuwekaa misingi
Damu yao na machozi ikawe rutuba
Yakustawisha vizazi vijavyo
Ardhi yetu tuipandapo mbegu (tuipandapo mbegu)
Ikatupe chakula cha kutosha
Ikawakatae wanaotaka vurugu
Nchi yetu idumu mileleee
(Akulindee mola, Akulinlde
Akulindee mola, Akulinlde)

Usipatwe na mabaya (Akulindee mola)
Na magonjwa
Na ajari (Akulindee)
Na majanga
Yawe mbali nawe Tanzania
(Akulindee mola, Akulinlde)
Tanzania yangu
Nakuombea kwa mungu
(Iyee iyee iyee) akulinde
Mola, iyee iyee iyee iyee
Akulinde (iyee iyee iyee iyee)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Taifa Letu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

AMBWENE MWAS ONGWE

Tanzania

Ambene Mwasongwe is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE