Home Search Countries Albums

Michano Lyrics


[INTRO]
Call 911. Kuna vita mura. Vita

Vita ni vita mura
Iwe bunduki au sime
Wakubwa wakigombana
Shika jembe kalime

[VERSE 1]
Weka mikono juu
Tusali sala ya mwisho (amen)
Waambie kwamba siogopi vitisho
Sisapoti ujinga na sipendi miyeyusho
Haya matusi au mabisho
Mi nawaona wao mwisho

Naona masikini amepata
Matako yanalia mbwata
Amesahau alikotoka
Na kuhara kama bata

Wamesifiwa mbio wamepitiliza kwao
Najua mwisho wa movie lazima itakula kwao
Mambo yanabadilika pita kwa page ya mange
Siku hizi anaposti umbea mambo ya kisenge

Wananitafutia sababu ilimradi wanifunge
Naomba niwakumbushe mi msanii sio mbunge
Unasema shabiki yangu alafu unanitukana
Shabiki mandazi kamshabikie mamako

[CHORUS]
Wanangu mmemisi nini... (michano)
Nini? (michano) nini? (michano)
Semeni mnataka nini... (michano)
Nini? (michano) nini? (michano)
Hakika mmemisi nini (michano)
Siwasikii? (michano)
Siwasikii? (michano)
Semeni mnataka nini (michano)
Nini? (michano)
Eti nini? (michano)

[VERSE 2]
Bongo flavour sio movie wadanganyia
Wacheni ujinga
Siku hizi kila malaya wa mjini anataka kuimba
Hawana nguvu za kiume  vijana wengi wa bongo
Jongoo hapandi  mtungi mpaka atumie cha mgongo
Wanangu mmemisi michano
Sio bolingo la chakacha
Waambie hii imetoka ipo ingine inafuata
Dada zao wananambia (Ney hunaga show Mbovu)
Si mmekula sabuni haya toeni mapovu
Najua hamfiki mbali
Hizo ni mbio  za kuku
Mitandaoni mbembwe nyingi
Kwenye show hamna kitu
Kama hupendwi hupendwi tu
Shabiki shangwe hawakupi
Mwenzako nashangiliwa
Ata nkikisifia chuki

Mara ooh nafanya kazi nzuri
Ila nahisi naibiwa
Okey unaifanya nakukunyonya
Kwani we una maziwa
Unasema shabiki yangu
Alafu unanitukana
Shabiki mandazi
Kamshabikie mamako

[CHORUS]
Wanangu mmemisi nini... (michano)
Nini? (michano) nini? (michano)
Semeni mnataka nini... (michano)
Nini? (michano) nini? (michano)
Hakika mmemisi nini (michano)
Siwasikii? (michano)
Siwasikii? (michano)
Semeni mnataka nini (michano)
Nini? (michano)
Eti nini? (michano)

[OUTRO]
Vita ni vita mura
Iwe bunduki au sime
Wakubwa wakigombana
Shika jembe kalime

Free Nation

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Michano (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE