Acheze Lyrics
Washa hapa zima pale
Zungusha kwa pele
Twanga mpunga tule mchele
Roho kunja huoni gere
Boringo ya kwasa kwasa
Zima ndombolo weka chakacha
Vaa ndala vaa chachacha
Nimeamka babu marasta
Kila tonge done
Vyenga zidanne
Kama enga kifuani
Nazibua chemba chumbani
Mr lover lover mr scooby doo
Domo kama chai jaba liko juu juu
Mr lover lover mr scooby doo
Domo kama chai jaba liko juu juu
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Nikichomeka chuma anang'ata ulimi
Mbio za duma swara porini
Mwajuma anaguna anataka nini?
Changanya mrenda kwenye magadi
Bad killer mwenye kipaji
Punguza hasira kunywa maji
Ni kuhukumu kama jaji
Ukipewa nafasi mna bwabwaja
Mwingine naskia mabwabwa
Mna tabia za kina dada
Nawa zoom na tayari mshajaa
We fanya kafara vunja nazi
Uonekane wewe
Uwanja wako mwaga radhi
Ushindwe mwenyewe
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Umarika nimwingi kula powder
Nikiwatisha waoga
Huyo naye nani hajakoga?
Kama tae kwon do doni yen
Hawataki za kimombo tulieni
Paka na mkongo mkamie
Alama mpaka tongo tongo mkazie
Amka, sanuka, toa shuka vaa bukta (ayee)
Chumvi kamwagika pigi kabaa!(ayeee)
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Hee! Hee! Hee!
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
Mwambie aje acheze aruke
Acheze aruke acheze aruke
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Acheze (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NAY WA MITEGO
Tanzania
Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply Mr Nay, is a Tanzanian r ...
YOU MAY ALSO LIKE