Boss Mpya Lyrics
Na venye walikuwa wanakesha
Kumwaga pesa hakuna msondo
Na jiji nzima walitutesa
Na leo wanachekwa nyumbani ndondo
Boss pekee ambaye natesa, tesa
Kipindi Magu kabana pesa
Niulize nauza dawa ama
Nilitunza enzi za Jakaya ama
Bandale ama madale
Miguu ya kuku kwetu nosa tukambale
Kama jabale, kacheze na wale
Wananiita boss kubwa boss kabambe
Believe that, sijasoma ila naongea kizungu
Nikinywa panzi kanywa soda na bado kazima
Mshamba mwenye subi leo nateka hadi jina
Wananiita benki ndogo wakina Amina
Baa naitwa Said Mwamba kizota
Nazungusha dimba bila hata kuchoka
Hakuna namna, kunywa wana
Na msijali vocha zipo ka mnara ukisimama
Ni kujichana,
Kulindana ni habari za nyumbani za watoto kina mama
Sio Kulichana, mi ni Nacha toka Bongo Tz
Sio Sacco kule Ghana, ni boss mpya, toto mpya
Na viwanja pia vipya vya zamani havina maana
Nageuza joto kuwa baridi(Baridi)
Boss mpya ndani ya jiji(Ya Jiji)
Beki hazikabi pande hizi(Hiziii)
Boss mpya ndani ya jiji(Eazy wowooo)
Eeh na party iko next door ama
Choma choma nalipia mimi hizo nyama
Vipi na ni wapi kunawaka Dar?
Ligi zangu sio kichui ya labda samata
Nenda Tabata, Kimanga kasake kiwanja
Ukifika Kimara suka
Simtaki Kidoti, Kajala, na Wema na Wolper
Maana kilomita zimekata
Na na chini ninamopa, koti kadinda
Kazi ni moja, we kunywa nitalipa
Aah unacheka? Hakuna namna kunywa wana
Na msijali vocha zipo ka mnara ukisimama
Ni kujichana,
Kulindana ni habari za nyumbani za watoto kina mama
Sio Kulichana, mi ni Nacha toka Bongo Tz
Sio Sacco kule Ghana, ni boss mpya, toto mpya
Na viwanja pia vipya vya zamani havina maana
Nageuza joto kuwa baridi(Baridi)
Boss mpya ndani ya jiji(Ya Jiji)
Beki hazikabi pande hizi(Hiziii)
Boss mpya ndani ya jiji(Eazy wowooo)
Nageuza joto kuwa baridi
(Bongo Tz sio Sacco kule Ghana)
Boss mpya ndani ya jiji
(Ni habari za nyumbani za watoto kina mama)
Beki hazikabi pande hizi
(Viwanja pia vipya vya zamani havina maana)
Boss mpya ndani ya jiji(Eazy wowooo)
(Bongo Tz)
Nageuza joto kuwa baridi
(Bongo Tz sio Sacco kule Ghana)
Boss mpya ndani ya jiji
(Ni habari za nyumbani za watoto kina mama)
Beki hazikabi pande hizi
(Viwanja pia vipya vya zamani havina maana)
Boss mpya ndani ya jiji(Eazy wowooo)
(Bongo Tz)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Boss Mpya (Single)
Copyright : (c) 2017
Added By : Boss Mpya
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE