Muda Lyrics
Moja ya ndoto zangu
Ndoto ni kuishi nawe milele
Upendo na hisia zangu
Upendo haujawahi shikwa na mwengine
Unaondoka sawa
Ila roho yangu umeishika wewe
Kipenzi
Ningekuwa na Chawa
Ningemwagiza Kwako akuambie urudi
Sema ndo hakuna madoctor
Wa upendo wapime ujue
Athiriko nilivyoathirika Moyo
Nikidondoka niokote
Na ukiumwa mi dawa
Tutapendana kivyovyote
Tulishachanjana
Sina lakusema lolote
Wakuchukue sawa
Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa Muda
Ohh Kweli Mapenzi
Yanahitaji Muda
Kuchitiana, kugombana ni
Kwa sababu Ya Muda
Ohhh Mapenzi
Yanahitaji Muda
Mi mwenyewe nateseka ni
Kwasababu ya Muda
Kweli nimekosea
Na leo nakiri makosa kwako
Nilikuonea
Sikuwa na muda kabisa na wewe
Ulivumilia
Ukiwa unajua nitabadilika wowooo
Kumbe ndo kwanza
Unaondoka sawa
Ila roho yangu umeishika wewe
Kipenzi
Ningekuwa na Chawa
Ningemwagiza Kwako akuambie urudi
Sema ndo hakuna madoctor
Wa upendo wapime ujue
Athiriko nilivyoathirika Moyo
Nikidondoka niokote
Na ukiumwa mi dawa
Tutapendana kivyovyote
Tulishachanjana
Sina lakusema lolote
Wakuchukue sawa
Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa Muda
Ohh Kweli Mapenzi
Yanahitaji Muda
Kuchitiana, kugombana ni
Kwa sababu Ya Muda
Ohhh Mapenzi, yanahitaji Muda
Mi mwenyewe nateseka ni
Kwasababu ya Muda
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Me, Myself & I (EP)
Copyright : (C) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE