Home Search Countries Albums

Nyasubi

NACHA

Nyasubi Lyrics


Nyasubi ndani ya mbanyu tena 
Nyasubi stand up

Hey bratha unashangaa nawaka 
Nacha taa kwa giza
Sio motokaa 
Nacha flow fast and furious

Kwa vidume wote bongo wasio na maana
Napenda niwatakie heri ya siku ya kina mama
Alright, kwa mfano ni ukweli nawaambia
Najihisi Tanganyika dem akinionyesha ziwa

Bongo wenyewe sio bro hawaoni haya
Unaweza pika we alafu akala Jeremiah
Nacha madharau siwezi fika walitabiri
Wakageuka pweza wakajua watalikariri

Siamini, watu hichi kizazi cha kafiri
Na vaaga salama hata nikiwa salama jabidi
Kulinganishwa ndo sitakagi, hapana bro
Na hata nikiuma kitu cha bare nameza panadol

Naweza rap hadi mchiriku ama segere 
Nasikia mnataka beef nitawapa mchele na jegere
Nitawapa dole mkakunie vipele
Kisha nakula uso wa mbuzi kimedikadele

Ndo ile kitu matozi hawapendi
Ngoma zangu vitunguu mtatokwa machozi bendi
Walai hamtaamini nawachana Maana naenda airport
Kia alafu naenda kiama
Inachoresha inaumiza ukiibiwa mke
Mwanao akawa mchizi more ila  usichizike

Nikiwa peku mzee naitwaga poto
Mbele yangu akiwa John Boko huwaga naitwa Nyozo
Pawa mabula mi ni koo manu jide
Maana ukinikuta na hasira ni Koffi Olomide

Kwata gwaride, msondo usikinde
Bado sijajua mapanga mtemeke ukalime
Na Dar sina baba arif
Ukijifanya haunijui utanijua siku

Funga zip, kiduma unapobebwa nuksi
Si mnapenda bebwa bebwa mtajikuta labour chief
Huh, mwendo wa mateka tubu 
Nacha na professor ukijifanya una sugu

Nacha anaua lini? Ndo habari za kiboya
Hasa nikimkumbuka dogo wa Ngare Naro na Uwoya
Sa sikiliza, nikivisha naipua madogo mtalamba mwiko
Hii sukari kwenye mua 

Makali zaidi ya pilipili
Wengi mtakiri, mi ndo yule rapper
Anayekula story alafu najenga mwili
Ukibirizi Nyasubi cha mwindo mzoga

Uchizi ni huu, na fema wazi bila uwoga
Wachezaji Yanga njaa hela mboga
Alafu mnamcheka Moh kuwapa simba bodaboda
OVER!

Lets take over the game

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nyasubi (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NACHA

Tanzania

Nacha Ousam is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE