I Don't Care Lyrics

Trone basi tulilunje
Zuchu chu chu chu chu
Ahhh
Ayo trone
Maneno yenu, sio msumari
Kusema kwamba yatanitobo
Na tena wala, wala sijali
Sioni jipya la kunikomoa
Mnachojua majungu
Binadamu mnachosha
Akishanipenda mungu
Na mama yangu inatosha
Money on my mind
God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Money on my mind
God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda (ndo napenda)
Mi mkinisema sema mjue naona raaha (naona raaha)
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda (ndo napenda)
Mi mkinisema sema mjue naona raaha (naona raaha)
One two
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care mhhh
Riziki yangu ndandunda
Ila mi wa leo sio wa jana
Kweli sijavuna matunda
Ila walau hawakosi mlo mama
Na wenzangu nawatunza
Ndoto zao ziweze fana
Japo shukrani ya punda
Wakishapata wanantukana
Mnachojua majungu (mnachojua majungua)
Binadamu mnachosha (oooh oooh)
Akishanipenda mungu
Na mama yangu inatosha mhhhh
Money on my mind
God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Money on my mind
God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda (ndo napenda)
Mi mkinisema sema mjue naona raaha (naona raaha)
Mi mkinisema sema mjue ndo napenda (ndo napenda)
Mi mkinisema sema mjue naona raaha (naona raaha)
Hahahahaha
Brrrrrr
Here we go
You ready
One two
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care
Kamix lizer
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ZUCHU
Tanzania
Zuchu real name Zuhura Othman Soud Kopa (born November 22, 1993) is an artist/Singer/Songwriter/Perf ...
YOU MAY ALSO LIKE