Aah Wapi Lyrics
It's been a long time coming
Bongo Tz, UG Kampala na E
Baby, jamani nina shida ya buku
Dah! Mbona hata mimi nyumbani sina hata luku
Mmmh, baby bahili kama nini?
Eee! We ulidhani mama zinachimbwa chini?
Baby nilipie show ya Ali Kiba
Kesho wikendi kuna ligi LaLiga
Hela niliobakiza, mia tano
Ya kuingia banda umiza
Aaah, una maneno ya shoho
Eeh tumia sabuni ili ukate hiyo shoho
Baby ninunulie koni
Sa ya nini wakati mi mwenyewe nina koni?
Hivi mnadhani si ni wajinga
Siku hizi hakuna madem goal-keeper
Natafta-unatafta, naleta-unaleta
Tatizo wanawake wa sikuhizi mnadeka
Nifanye niishi kama diva doll
Ata mimi kama Jigger boss
Baby nataka nyumba Tabata(Aah wapi)
Simu ya smartphone(Aah wapi)
Shopping kwa mall(Aah wapi)
Unadhani zinachimbwa chini mama(Aah wapi)
Baby vipi pizza ama burger(Aah wapi)
Peruvian hair(Aah wapi)
Private car(Aah wapi)
Unadhani zinachimbwa chini mama(Aah wapi)
Nataka hewa ya wanja na make-up boshori
Sa si bora tu nika-date na mdoli
Nina majukumu ya familia
Mimi ndio baba, mi ndio mama wa familia
Wadogo wananiangalia, ada ninalipia
Alafu na wewe Bi. Dada unataka pia?
Alafu unatoa maboko
Kwani we hujui kakangu John Boko
Yaani we kaka bahili kuchunwa
Utachuna nini? Mifupa mwili mzima
Hakuna high heels, wigi kajala
Ukitaka kusukwa kwa sista Mbagala
Yaani bas tu, huna hata mvuto
Enda uka-date na sumaku ka unataka mvuto
Baby nataka nyumba Tabata(Aah wapi)
Simu ya smartphone(Aah wapi)
Shopping kwa mall(Aah wapi)
Unadhani zinachimbwa chini mama(Aah wapi)
Baby vipi pizza ama burger(Aah wapi)
Peruvian hair(Aah wapi)
Private car(Aah wapi)
Unadhani zinachimbwa chini mama(Aah wapi)
Eey, mnyasubi ndani ya mbanyu baby
Scooper the boss,
Awesome Nacha NAA-CHA-A
Wamechokoza mbeya
Lets take over the game
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Aah Wapi (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE