Party Lyrics
Leta divai leta mvinyo
Tuone maisha vile yalivyo
Nataka nifurahi na my people
Pombe gani mr bibo?
Ya nini nijibane, shida zote za nini
Nitafute kwa taabu nile kwa taabu kwanini
Acha nitukane tena kwa kujiamini
Kama pesa ya kwangu maisha ya kwangu my baby
Call me when you ready
I just wanna get ready
Venye uko sexy sijiwezi
You are the only one my baby
I need you on bed
Leo nitakuwa Mbezi
Baada ya club, kwani zile two in one
Home kinyamwezi
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
Mpaka giza totoro
Tunapita kila chochoro
Be my wale...
Tuone maisha vile yalivyo
I play my shit a million jale
Pombe gani mr bibo?
Ona my girl she her
Mpe baba dry ila ganja mpe mixer
Ona mashetani napandisha
Nishauza godoro na ile neti ilotanikwa
Hii collabo ina baraka ni princess na mimi
Tunabring oldskul na kina Prince Madini
Nashangaa watoto wadogo wana battle na mimi
Kila kitu ruhusa watasema ni speech ya Mwinyi
Wazimie data maana watawasha VPN
Mi nadhani hakuna jipya hilo
Ila wao ndo wageni
Mashokolo madem, watoto jipangeni
Hakuna msoto bila brain
Nauka miko mikocheni
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
Mpaka giza totoro
Tunapita kila chochoro
You know say I got the stamina
Bongo chochote si tunapita
You know say I got the stamina
Bongo chochote si tunapita
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
Leo sisi hatulali mpaka giza totoro
Oya wana hatulali, tunapita kila chochoro
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Party (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE