Home Search Countries Albums

Fanya Wewe

KIKOSI KAZI

Fanya Wewe Lyrics


Yeah kikosi kazi, unju

[Nikki Mbishi]
Nikki siku hizi umechuja huna tena rap skills
Ulikuwa Michael Tyson wa rap cat skills
I wish you could come back here
Ukifuse hiphop na afropop utabamba still

Umeshuka kiwango homeboy
Huna mipango on point
Siku hizi mi, siku hizi chambo hunitoi
Maneno unatafuna kama veve
Ukiona nazingua fanya wewe4

[One the Incredible]
Mi naipenda ikiwa ngumu tight nzito
Nifanye milele iweze dumu zaidi ya kifo
Nisonge mbele au nipush mpaka mwisho
Na si mamiss wanichum wakinizoom

Ndani ya disco nifanye iwe bora 
Sio kubali kama groupie
Ukinichora fikisha taifa kwa mamluki
Fanya iwe vita pistol au mikuki
Na yote ni love bila chuki, fanya wewe

Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe

Kama nachofanya nakosea (Fanya wewe)
Njia nayopita napotea (Fanya wewe)
Wala hautaki mi kuongea (Fanya wewe)
Fanya wewe, Fanya wewe, Fanya wewe

[Azma]
Naishi life ya kireggeaton
Na survive niko mchakatoni
Nashika mic mpaka microphone
Weka like ka unataka koni

Kwenye mapya Tanzania
Bado niko juu zaidi ya vile wanavyodhania
Love iko tu hata ka wakinibania
We unayenichana kindezi nakukanya ukome
Ka unaona siwezi fanya wewe tuone

[Sterio]
Yeah ah kuvaa vaa matunguli (Fanya wewe)
Kumvagaa vagaa Magufuli (Fanya wewe)
Kung'aa ng'aa na mapuli (Fanya wewe)
Kuzagaa zagaa makubuli 

Kununua mashangu siza kona baa
Corona sio ndegu fever homa daa
Kupanga mikakati na mashoga
Kufanya harakati na waoga

Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe

Kama nachofanya nakosea (Fanya wewe)
Njia nayopita napotea (Fanya wewe)
Wala hautaki mi kuongea (Fanya wewe)
Fanya wewe, Fanya wewe, Fanya wewe

With the best rap group kwa nyumba
Hapa maboya wakijitusu wanadundwa
Tupo kwa hiphop si zouk na rhumba
Tunafanya yetu vipi wanajitusu wanayumba

Mi ni rapper mi ni mwandishi mi ni entertainer
Na bila ubishi niko hapa nawakilisha vyema
I do what I do sifosi nielewe
Na kama ukiona mi siwezi fanya wewe

[Mansu-Li]
I've been doing this like this is day one
If you aren't my gadmn fan you better run run
Nilianza na kina kirefu na Hami bee 
Niite gangster na mitaa ikatiii

Iweje leo unataka nibadilike 
Nibane pua kidogo ndo niwashike
I'ma do me I don't wanna do you
Naifanya hii from my people around you
Kama unaona siwezi fanya wewe 
Kama ni ndege eagle na siwezi kuwa mwewe

Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe, fanya wewe (Tarararara)
Fanya wewe

Kama nachofanya nakosea (Fanya wewe)
Njia nayopita napotea (Fanya wewe)
Wala hautaki mi kuongea (Fanya wewe)
Fanya wewe, Fanya wewe, Fanya wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Fanya Wewe (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KIKOSI KAZI

Tanzania

Kikosi Kazi is a biggest HIP HOP group from Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbis ...

YOU MAY ALSO LIKE