Kwa Jana Lyrics

Gari lipo mafuta full sa tuende wapi?
Kule kule kwa jana
Mnaniomba lifti nikupeleke wapi?
Kule kule kwa jana
Sasa mbona nayumba nilikunywa wapi?
Kule kule kwa jana
Pembeni nina bonge ya pisi imetoka wapi?
Kule kule kwa jana
Eti unanipitisha mbona kuna matope
Mfukoni una pesa eti oh ni utoke
Hata nikiwa kwa kulala
Si nina mikambi popote
Iwe basikeli hata mguu
Mi nataka tu utoke
Sa mbona unayumba Dj, sijalewa
Tunaomba ngoma utuekee ah ah sijalewa
Inakuvuka au kata K, sijalewa
Unajikuta ushapanda bei, ah ah sijalewa
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Pati we papati, leo ghetto kuna party
Wametupikia chapati na mchuzi kaimati
Pati we papati, tusivutane mashati
Ingia ucheze katikati, kuna huku leo wapi
Hata nikicheza nibambie shemu, mbona pambe
Na ikiniweza nimpatie game, yaani pambe
Eti mimba ya Uchebe tumpee majani, mbona pambe
Yaani kaniganda vile kile sehemu, yaani pambe
Sa mbona unayumba Dj, sijalewa
Tunaomba ngoma utuekee ah ah sijalewa
Inakuvuka au kata K, sijalewa
Unajikuta ushapanda bei, ah ah sijalewa
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Kule kule kwa jana
Waboba waboba, wanatuekea kikati
Tuzunguke kushoto, tuzunguke kulia
Wa wa wahuku, wa wa wa kule
Wa wa wahuku, wa wa wa kule
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kwa Jana (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE