Home Search Countries Albums

Anthem

KIKOSI KAZI Feat. CHIBWA

Anthem Lyrics


Mtapigwa vipara boy
Msilete business hizo
Walala hoi hizo business mnasound paranoid
Record ya ma G, G record
Kama roho imepandisha mori mkaruka hamkuona panga boy
Likizunguka sa mmefyekwa shingo

Zana zenyu ni za jadi hamfai kuwekwa lindo
Tumeshateka windo tunawapeleka chindo
Kikosi kazi jeshi kubwa inasomeka symbol
Miereka undetaker hapa hakuna cheka kimbo
Koka ina popstar oya leta wimbo
Ndo ivo my niggro unju ni fo shizo manizo
Nyie malaika mmeingia aje ndani ya ivo carnival

Listen, nakimbiza kimbiza pande zote nanesa nesa nalia na fani
Tangaza vita pande zote hatutaki utani
Sisi ni number one kikosi kazi kushuka kazi
We are taking the streets tuko physical fit
We are hard to defeat hawawezi compete
Wanataka kuwa kama sisi sisi wasisi
Sisi ni simba wao fisi hakuna pisi
Sisi ni kiki, sisi ni snare dear
Ukitusnitch hatuko fare pia

Hakuna matata tumefika
Kikosi kazi kimeitika
We work hard and never stop yeah
Tunakiwasha bila starter

Believe the way you fighting 
(Believe the way you fighting)
Hustle morning mpaka night
(Hustle morning mpaka night)
Believe the way you fighting
(Say believe the way you fighting)
Hustle morning mpaka night
Hustle morning mpaka night

Ukiskia hii anthem kikosi kazi iko kwa hewa
Tunachana mambo ambayo hata kizazi 
Mnajua si wakali na iko wazi sio ngekewa
Sa mnatuchukia kwanini ka vipaji tumepewa
Si ndo Bongo rap team now
Marapper wote wanaobisha tupa kando maana ni wenda wazimu hao
Money in the pay now, cash rules everything around me
Around us, so not Cream now 

Naacha maliko on fire, niko fire niko hot
Lengo tufike kilele, we climb to the top
Nyie marapper ukuti ukuti wa meme mastar
Ambao hamvuti hamvuti mapene

Eyo haters gon hate but nothing gon change
Wanaongea kuhusu sisi ili wapate tu kutrend
Only for the money and fame its a shame
Muda wao wamekwisha wameexpire kwenye game

Yeah Kikosi Kazi we were here to stay
Hatutaki blah blah we are here to play
Ukitugusa bahati mbaya utajuta aisee
Hatuezi vunga kuona haya hii ni vita mzee

Na ukileta nusu shari tunakupa kamili
So chukua tahadhari utajikuta Muhimbili
Na hatuna shughuli ndogo tuna timba ya mazima
Wakiuliza bingwa ni nani jibu sisi mazima

Nipe mic nibatize marapper ki Benedicta
Kristo nafufua rap kwenye hizi flow
Wisdom nikuache kiburi na hizo weak flow
Mwiko new generation, Tiktok

Hivi virapa navivaa kwenda chooni
Ngumi zangu naelekeza kwenda kooni
Njooni na vikundi vyenu vya kunguru
Napiga manati ili mafans washukuru

Zi to the zizi, sala sala wima
Kikosi kazi cha mizinga kama kalapina
Mkihadaa mje kuhiji, msije kusizi Makka ya Sanaa
Na kikosi kazi magwiji

Hakuna matata tumefika
Kikosi kazi kimeitika
We work hard and never stop yeah
Tunakiwasha bila starter

Believe the way you fighting 
(Believe the way you fighting)
Hustle morning mpaka night
(Hustle morning mpaka night)
Believe the way you fighting
(Say believe the way you fighting)
Hustle morning mpaka night
Hustle morning mpaka night

Yes yes no cavity tupo
Tunalewa tu haina kuondoka na milupo
Natazama kushoto kulia nani yupo?
Tunafanya vituko, tunachana mifuko

Ukiskia hii piga makofi piga magoti
Mchumba ukinuna nakupiga na noti
Tumeshapagawa usawa huu na ukata
Na usasa msafara huu fuata

Nayaruka majoka hadi pakuche
Wana washapotea wacha wajitafute
Zama kwenye chumvi drama kwenye movie
Mbuzi acha makuzi weka nyama kwenye mchuzi

Sina habari ka sijapata taarifa
Waambie niko ndani wahusika hawajaficha
Niko mbele ya muda nikifa mbele ya buda
Binadamu wanataka tu kwenda kuliko kuja

Na sijui wanataka kipi nishawawapa 40 bars
Leo hii wanataka 60, niwape mangapi?
Mniache niishi maisha yangu changamoto
Ambazo hazinitishi

Sikiza sijui unawakilisha wapi
Nachafua Tanzania kawauliza
Niite moko wa miujiza nimefanya mengi
Kipi utaniuliza kwaheri!!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Anthem (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KIKOSI KAZI

Tanzania

Kikosi Kazi is a biggest HIP HOP group from Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbis ...

YOU MAY ALSO LIKE