Miss 2020 Lyrics
Umenipa nafasi ya kushine milele
Umenifanya mi nijue ju ya kazi ni wewe
Umenizalia Kikosi Kazi
Najua mi ni star sifosi tag
Miss 2020 umenifanya mi nikose stressi
Naongoza kwa trending
umenichukulia mimi friend
Sijui tumekosa nini kwa Covid 19
Chart yako itashuka soon
Usiende kwa mizuka ya machaa wa town
Wanokupa spoon, watakuchora ka cartoon
Wanasema kawaida ni kama sheria
Kwa iyo anza kanuni
Sitamani uondoke wala ubaki
Napenda twende wote mpaka udachi
Nashangaa hutaki umenipa majanga na sikuachi
Nivumilie bado najipanga nazichanga ki Hush Pappi
--
--
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Miss 2020 (Single)
Copyright : (c) 2020 Kikosi Kazi.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KIKOSI KAZI
Tanzania
Kikosi Kazi is a biggest HIP HOP group from Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbis ...
YOU MAY ALSO LIKE