Home Search Countries Albums

Mayo Lyrics


Nakupenda sana mwanangu tambua jicho langu
Ukienda mjini mimi nitabaki na nani?
Hata baba yako alishakwenda hakurudi
Mimi mama yako kukukataza haina budi

Kuna akina mama kama mimi wasio na radhi
Watakudanganya kesho upate maradhi
Na kuna vijana mtaani wasio na kazi
Watakuvuruga umwagike ka tui la nazi

Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende
Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende

Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende
Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende

Ah mwanangu mjini usenge
Mi nakujua ndo nimetokea
Ah mjini una mazonge
Eeh mwanangu utapotea

Hakuna kungoja, kila kiota
Kijijini kwako hakunaga adhabu
Na mi napenda niwe na danda
Nimiliki gari nishike ata doh

Kuwa na furaha nakupenda wangu mama
Nitakwenda na nitarudi
Na shida pasa uoe
We ni wangu mama sio kwamba nakudharau
Niache niende niko pale pale hohehahe

Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende
Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende

Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende
Mayo mayo, niache niende
Mayo mayo, mama niende

Ah mwanangu mjini usenge
Mi nakujua ndo nimetokea
Ah mjini una mazonge
Eeh mwanangu utapotea

Mama mzazi ni mama
Mama wa kambo ni mama
Hata mi kwako ni mama
Japo sikukuzaa

Mayo mayo, mayo mayo
Mayo mayo, mayo mayo
Mayo mayo, mayo mayo
Mayo mayo, mayo mayo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Asante Mama (Album)


Copyright : (c) 2021 MMB (Manzese Music Baby)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DOGO JANJA

Tanzania

Dogo Janja is a rapper from Dar es Salaam, Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE