Home Search Countries Albums

Kazini (Weusi Diss)

KIKOSI KAZI

Kazini (Weusi Diss) Lyrics


Watamaduni si ndo tunatunza hii culture
Hahaha mnatunza culture gani rapture
Au ni ya kusuka rasta

[Azma]
We are after money
Haturap ili kukuza CV
Mko chapter one mnapaswa kuongeza bidii
Ah hatusound the same tuko different
Mnarap kama madem hamnaa reference

Tuna differ in preferences
Kwenye game kuna witnesses 
Ndio maana mnahit wepesi
Kinacholit ni kesi
Huu moto mliowasha mtateketea

Si mnadhani kuna media itawatetea
Wameanza kuibomoa kamati 
Wakati wenu ndo umefika tamati
Una collabo na Chidma, Collabo na AK
Collabo na Davido na zote hazina impact
Mnaongoza kwa fitna ni kama majike
Mtapigwa mapigo mpaka mbleed kwa vichwa

Mnakurupuka bila mipango
Mpake Eazy anasound kama Jose Mitambo
Nawachoresha picha na mi topic yangu
Ningetosha kuwaficha

[Nikki Mbishi]
Wazee wa kitonga tunatosa maganga Gangeronga 
Juwe hawa swagga za kinyonga
Wanajiita murderous 
No wonder wakinyongwa no kusanda 
Hata sorcerous huwanga wakiroga
Banga za kiboya, pamba za kishoga

Jiji limehama mmegeuka dump la mizoga
Niliwatega kwa chambo nyie bitoga
Nimewakuta mmenasa mko kando mmedoda
Hamna jambo mmechokwa boss wenu kawatoka
Mmetuimbia sana "Fuck u" leo mnajitia mnafoka
Hamtujui si tukoje tuko loaded
Kwa iyo msirikoroge 
Msije mkalinywa mkishindwa mlioge

Speed 5G unju bin Kipchoge
Shatta kila chocho uso wangu ni straight coded
Mmejifunza rap ya coder aisee
Kikosi Kazi hawa jamaa watuu

[P Mawenge]
Oya nyi vibonde
Vipi mnaleta uoga wa kidunya 
Mnavua nguo hamsemi ka mnaoga au mnakunya
Jaza tumetest tu kuwapiga mikwara
Si unajua kwamba sisi ndo mambwiga wa ara

Hapana si tulifanya kama mataani
Wala hatukumaanisha tusamehe tu jamani
Ah kina flani bwana walitujaza bichwa
Ndio maana zile line nilifanya kutafta sifa
Na we mwenye virasta ka - ntakusanya 
Hivo vinywele nitavikata hata na chupa

Haturudii tena na wala hatutajitusu
Bado siamini ka tumeponea chupu chupu
Tofautisheni kati ya genga na bato
Si hatutaki shobo zenu nyi wachengo mata-
Misuti imewavaa ka mnaenda sabato
Tena mshukuru I got respect kwa watengwa na vato
Ningewatusi!

[Songa]
Eyoo nikitoa somo ni siri ishike
Na sio mpaka unidiss mi ndio uskike
Nilishikwa mkono na sterio listen
Wasanii gani mnatembea na ma video vixen

Nachukia sana kuua mbu na pistol
Ila nitatubu baadae nisamehe Mungu na Kristo
Kutudiscuss ni kutafuta undugu na kifo
Niko high napiga dry kwenye tundu la kiko

Mungu na mimi, gundu na nyinyi
Sikufika hapa sijui mna uchungu kwa nini?
Kimbia kama babu siku hizi nina tattoo
Nikiacha rap nitakuwa pastor kama bamboo
Ukitaka bars hapa ziko tele na tele
Nina makucha kwa iyo kwangu Pele ni kwele
We miongala mbele kwa mbele 
Culture haiwezi tunzwa na watoto mchele mchele

[Mansu-Li]
Naona mmerap kwa kupanic 
Na sio kawaida yenu nyie ma MC titanic
Mmekipima kina nawazamisha mazima
Na wala hakuna Nuhu wa kuwafungulia safina

Ma MC wepesi na battle wapi na wapi
Eti mmekaza vocal na bado mnasound ki whack
Mpaka naona uvivu waandika 16 bars
Mistari nane inawatosha niite 16 bars

[One the Incredible]
Yoh hii ni hit boy bounce
Haina kugusanisha unabeep unadisco
Una hits mi nina hiphop

Unazungumzia mtaani kuwa una money dealer
Album najiuliza fans wako wananunua kitu gani?
Maisha ni safari inayonifunza kutonyamazia 
Ujinga hii hali inaponikuta haina zari

Napotunga inawauma wanaojitambua wepesi
Si mithili ya mistari wanayoitunga
Jina bado moja ka nafasi isiyo ya kwao
Wakali wenu waoga wanatamani niwe wao

Niko town bado natingiza speaker bila cost
Nawachora wanaotuna wanalipwa bila boss
Tumewaskiza mlipotaka kuwa bigfish
Kujiita tamaduni sio kujihusisha na sisi
Listen we still the dopest on the mic
Keep your name out our business, we aight

[ZAiid]
Ah Weu si sisi, you ain't ready for this m'fckr
Yeah yeah, nameditate kutunga sheria
Yah rap siogopi kuvunja career
Sijui ni nani kawashawishi mtuguse

Si amejitia kidole mkichamba mjinuse
Media bebeni watoto na iacheni hii mizee
Ina rap kama hivi mbuzi kutwa kucha meee
New generation na hamko inspires
Mnabebwa, mtabebaje jiji m quare

Mlipokuja ndo tunapoishi vampire
Usiulize joto la dawi on fire
Hivi ni Jigger ama ni mbwege nigga
Rap messiah tunakuja oh Jesus
Hii sio mainstream ni main scheme
Kwa system rap victim
Kwa Insta kama vixen

Toa beef tunakula za mifupa
Huu muktadha wa HIPHOP 
Fursa mjifunze kukaza so
Vyogo vyogo komesho
Colabo za kipimbi
Tunakwenda international

Huh na bado mko na sisi mko na fisi
Vikombe twawaonyesha 
Nyi bado mko kwa ligi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kazini (Weusi Diss) (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KIKOSI KAZI

Tanzania

Kikosi Kazi is a biggest HIP HOP group from Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbis ...

YOU MAY ALSO LIKE