Home Search Countries Albums

Wadumu Milele

JOEL LWAGA

Wadumu Milele Lyrics


[VERSE 1]
Msimamizi wa mipaka ya bahari
Utunzaye ghala ya mwua aaa
Waamua lives aya jua na mwezi
Upepo na mawimbi vyakujua aaa
Uketiye mahali pa siri
Patakatifu palipoinnukaaah
Wautangaza mwisho mwanzoni
Hakuna usilolijuaaaah
Nani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyooteeeh

Miaka kwako sio umri
(Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo
(Vizazi kwako si ukomo)
Miaka kwako sio umri
(Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomooo
(Vizazi kwako si ukomooo)

Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Bwana wadumu milele
Wadumu milele
Eeh wadumu milele
Wadumu milele

[VERSE 2]
Wewe bwana ni kama maji
Maji yenye kina kirefu
Maji yenye kina kirefu
Kamwe hayapigi kelele eeh
Ni kweli kuna mabwana wengi
Lakini wewe ni bwana wa mabwana
Ni kweli kuna miungi mingi
Lakini wewe ni mungu wa miuuunguuuuh

Siku kwako sio vipindi
Majira kwako sio ishara
Hufikiwi kwa mnara wa babeli
Jina lako ni ngome imaraaaaaaah

Nani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyooteeeeh

Na ni wa kulinganishawa
Na we Jehova mwenye nguvu
Ufalme wako ni wa zamani zote
Vizazi vyoteeeeh

Miaka kwako sio umri
(Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako si ukomo
(Vizazi kwako si ukomo)
Miaka kwako sio umri
(Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako si ukomo
(Vizazi kwako si ukomo)

Wadumu milele
Wadumu milele
Umejawa nazo siku nyingi
(Wadumu milele)
Mwanzo na mwisho viko ndani yako
(Wadumu milele)
Umeshiba siku na utajiri
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele
Bwana wadumu milele
Wadumu milele
Wadumu milele

Say yeah (Yeah)
Yeah yeah
Say yeah (Yeah)
Yeah yeah

Nani wa kulinganishawa nawe Jehova
Mwenye nguvu
ufalme wako wa milele yote bwanaaaa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Wadumu Milele (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

JOEL LWAGA

Tanzania

Joel Lwaga is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE