Home Search Countries Albums

For You

DJ SEVEN Feat. STEVE RNB

For You Lyrics


Napenda vile unavyonipaga
Unanipa unanipa mpaka nashiba
Acha watu wadiss, watu wadiss beiby
Mimi nawe kwa pic, daily kwa pic beiby

Wachane marafiki
Waacha unafiki yeah yeah
Mimi nawe kwa dhiki
Watuache kwa peace yeah yeah

Uzuri wako karembo, rembo mama
Wakikuletea mazinzo, mazinzo

Popote ulipo beiby
Naamini uko okey
Huku niliko nami
Tambua mi niko okey

Popote ulipo beiby
Naamini uko okey
Huku niliko nami
Tambua mi niko okey

Nitafanya chochote(For you)
Sitajali lolote(For you)
Nitakwenda popote(For you)
Nikiwa sina nikope(For you)

Nitafanya chochote(For you)
Sitajali lolote(For you)
Nitakwenda popote(For you)
Nikiwa sina nikope(For you)

You the one that I need girl
Girl that I need you yeah
You the one that I want girl
Girl that I want yeah yeah

Nice and slow 
Beiby take it nice and slow yeah
Vile ulivyo
Na tabasamu lako la pekee

Uzuri wako karembo, rembo mama
Wakikuletea mazinzo, mazinzo

Popote ulipo beiby
Naamini uko okey
Huku niliko nami
Tambua mi niko okey

This love is real one
Real one yeah yeah yeah
This love is real one
Real one yeah yeah yeah

Nitafanya chochote(For you)
Sitajali lolote(For you)
Nitakwenda popote(For you)
Nikiwa sina nikope(For you)

Nitafanya chochote(For you)
Sitajali lolote(For you)
Nitakwenda popote(For you)
Nikiwa sina nikope(For you)

(Young lengendary)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Vibes EP/For You (EP)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DJ SEVEN

Tanzania

Dj Seven aka 'Dj Seven Worldwide' is Harmonize Official Dj based in Tanzania. He is sig ...

YOU MAY ALSO LIKE