Home Search Countries Albums

Mweupe Lyrics


Hata ungeniambia ilivyoanza walau ungenieleza
Rai ya mapenzi kwako dear mmmh
Ona nimekwambia nilivyoanza nmekwambia
Hata chakuficha sijaona aaaahh
Penzi lingekua mali ni weewe yasuriyaa
Ungemiliki ya Zanzibar, oh ya Zanzibar
Umeninvukisha sahari si umeya juliaaaa
Acha nikupende si marhaba nipende
Mi mwenzako moyo wanguu

Mweupe mweupe
Ah mi sina doaa
Sa moyo mweupe umenitakasa umenitoa madoa
Mweupe mweupe (oh my love, my love)
Sa moyo mweupe (unanipa mapenzi my looov)

Ah na nitakuimbia nyimbo nzuri ya mapenzi labda
Ukipenda ukasinzia utalala mikononi mwangu ah
Ukiwa macho kokori (adaa)
Tusipochat ntacall (kadhaa)
My we wangu milele, uwe wangu milele
Penzi lingekua mali ni weewe yasuriyaa
Ungemiliki ya Zanzibar oh ya Zanzibar
Umeninvukisha sahari si umeya juliaaaa
Acha nikupende si marhaba nipende
Mi mwenzako moyo wanguu

Mweupe mweupe (eeh mi sina doaa)
Sa moyo mweupe (umenitakasa umenitoa madoa)
Mweupe mweupe (oh my love, my love)
Sa moyo mweupe (unanipa mapenzi my looov)

Ah ntakupa lote lote mi ntakupa lote
Ntakupa lote lote, ka utanipa lote
Ah ntakupa lote lote mi ntakupa lote (loote looteee)
Ntakupa lote lote, ka utanipa lote
Lote lote
Lote lote

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mweupe (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

CARLIE BRONZE

Tanzania

Carlie Bronze is a Singer | Song writer | Performer from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE