Sitabaki Nilivyo Lyrics
Maisha haya ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu U karibu nami
Mtetezi wangu yu hai
Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite
Mtetezi wangu
Yu hai Yu hai
Sitabaki kama nilivyo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Sitabaki nilivyo (Single)
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE