Home Search Countries Albums

Sigino

AMBER LULU Feat. MR LG

Sigino Lyrics

Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino
Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino

Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino
Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino

Ninaskia mnanisema kwa dharau
Eti nimeshika dau
Najizimia ndio maana nawadharau
Watoto ndogo manyang'au

Mnajifanya beki kuwa mnachuma
Mnafungwa magoli mpaka ya kona
Game si ya kitoto naisoma
Wamepaki basi ninashona

Wanakunywa maji kwa kijiko
Nimewashika chacharicho
Na nawavuta kama kiko
Wakijitusi umafuriko

Kama wewe ni bibi mi ni nyanya
Nafuata upepo unapovuma
Navuta kote kote mbele nyuma
Basi kama ndizi nganda menya

Ninaskia mnanisema kwa dharau
Eti nimeshika dau
Najizimia ndio maana nawadharau
Watoto ndogo manyang'au

Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino
Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino

Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino
Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino

Viherehere
Wamepunguza kelele
Zimewabana kwikwi kwa mbele
Wamezidisha chumvi tendele

Eeeeh! Ni noma 
Wakiniona wanapata homa
Eeeeh! Kusonona 
Mpaka sura zao zinayoyoma

Kama wewe ni bibi mi ni nyanya
Nafuata upepo unapovuma
Navuta kote kote mbele nyuma
Basi kama ndizi nganda menya

Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino
Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino

Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino
Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino

Amekesha washa
Washa....

Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino
Sigino(Hallo)
Sigino goli la kisigino

Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino
Sigino Sigino
Sigino goli la kisigino

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Sigino (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

AMBER LULU

Tanzania

Amber Lulu is a Bongoflava music artist, model and actress from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE