Welcome to Gamboshi Lyrics
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Adam leo niko na Hawa the bus driver
Na wala sio malaya blac Chyna
Agiza bad wiser na kabla ya menu ni appetizer
Na wakitaka show off unju ni advertiser
Nitaretire dope nikihadithia riwaya
Soap opera na si top wire ka hawa softeners
Wanaojitia masuper modellers
Managym ambao hawakuwa na future ni past
Nimtume nani kule kwetu long'ido
Usituzie sura ugonjwa wetu ngongingo
Chaka letu sio bibo banga zetu ndio hizo
Nawatakia heri aslam aleikum Jah people
Mafala wana wonder saga za magala bwanda
Zima parapanda kisha nipe kina what a gwan bruh
Hata plan Mwenyezi ndo anaplan
Itawabamba ile bam bam msibane hii talanta
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Ni o tu jaspin, Old skul Dar stream
Don't you walk thru' so full caskin
Nani alidhani ningebaki the last minute
Standing venye sipendwi sio far tending
Of course am too proud unju supu
Msipikie anayefanya ngumu new school
Rap ya misingi ambayo golden era I used to
Teach us append the pictures, read the scriptures
Be a creature ule Mungu ameumba
Usisome stori ya fikra ile mzungu ameunda
Aka sanzu wa bantu, 1,2 - 1, 2
Master na punch kigwanzu
Ukija na Uber unarudishwa na Udaa
Nasema sina nidhamu naaibisha wakubwa
Waliokuwaga wagumu wamelainishwa kwa fuba
Harakati kwisha wametaifisha wa kuja
Nawapigia nyumbani nawapigia ugenini
Hawajiwezi wachaga tunaleta unyamwezi
Wakindezi wimbo zote chali majii
Ficha nisionekane nibaki wakali wa hii
Nilitaka kuwasamehe nimepostpone
Niggas get crossed jo na amani kwenu G toka Boston
Na nitadumu kwa enzi bila huniita watu wanne
Msaja sumu ya penzi
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Bongo Kenya na Uganda mugambache
Welcome to Gamboshi
Burundi na Rwanda mugambache
Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
Welcome to Gamboshi, Welcome to Gamboshi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Welcome to Gamboshi (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NIKKI MBISHI
Tanzania
Nikki Mbishi is a Tanzania hiphop veteran. Genre: Hip-Hop/Rap Record label: Music La ...
YOU MAY ALSO LIKE