Hater Lyrics

Nikikupa salamu hutaki pokea
Itikadi za kishamba unaniletea
Tukiwa wote klabu nakulipia
Nikitoka nyuma unanizomea
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Pombe nilewe
Hujanunua unune wee
Mwingine atetenywe
Hujatekenya ucheke wee
Chenga mbili tatu
Unajikuta Ronaldo
Unazuga kimombo
Wakati kibantu tu bado
Nikikunyima wiki unachamba(Chamba)
Pombe ya madanga ushamba(Ushamba)
Nitakuponza kiranga(Ranga)
Shuga kaza kitanda(Tanda)
Nikikupa salamu hutaki pokea
Itikadi za kishamba unaniletea
Tukiwa wote klabu nakulipia
Nikitoka nyuma unanizomea
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Izo nge nge nge
Usilete kwangu hizo mbwe mbwe mbwe
Wataku che nde nde nde
Kwa hizo shepu zako za kisesembe
Oh la la,
kumbe hata kwa Sango unaniendea
Kwangu sala,
Ata kwa Mungu ninakuombea
Nikivaa nikipendeza
Roho yako inauma eeh
Nikipita natingisha
Roho yako inakunja wee
Nikikupa salamu hutaki pokea
Itikadi za kishamba unaniletea
Tukiwa wote klabu nakulipia
Nikitoka nyuma unanizomea
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
Kwani we ni hater?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Hater (Single)
Copyright : (c) 2019 Lulu Mafia
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
AMBER LULU
Tanzania
Amber Lulu is a Bongoflava music artist, model and actress from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE