Wapoloo Lyrics
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii
Vijiko kama hapo hela ziko
Mi niko mpaka kokoriko
Did i do? Kwenye back me najidai tu
Kendrick sema tu tu tu
Koromeo kama ilinakorogea mtu shamba
Viwiwanja vibaridi nanunua mishamba
Nimechoka kuhesabu weusi moja namba
(Namba namba)
Na tupo mainstream si kipimo
Wapo low kimo mbilikimo
Wakipima tunavunja kilo na ua ua
Wanajua ni mazishi maua ua iokote
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii
Kaja ghetto kapigwa monday(monday)
Kazi ghettoni mpaka monday(monday)
Hatuwezi zuia jeki ipande(ipande)
Kazi kazi kazi no kiande
Makachache wanatongoza bwana sio kitoto
Simbali simbali mara akifika ni chocho
Utamu utamu mpaka akishtuka fofofo
Si bwana atakuja kutuokoa tusiende kwa moto
Napenda kubwa kubwa zile figure figure
Katoto umeleta mboga mi na pika pika
Ka mtoto kula sio kushika shika
Round hii safari sio kufika fika
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii
Ukiskia wahuni wako chimba wa ma mji
Utajikuta kwa kitanda ukiomba uji
Ukiomba bwana mikono juu na harudi
Ukiomba dem mikono mitupu na haabudi
Kata kati yako ondoka
Sema unakata kati yangu unaongopa
Hasira za wahuni ni kukataa ulofa
Vijana wanatwerki ka madem wahawker
Siunipee (hee) ...sioni watu.. (haha)
Uhuni sio sifa, sifa ni werevu
Siunipee (hee) ...sioni watu.. (haha)
Uhuni sio sifa, sifa ni werevu
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii
Mi si niliuzaga mitumba issa akiwa kikoa
Mhuni la kima cha juu fungu la kumi toa
Fanya kikoa kitaa kina cha kukutoa
Mtafia vikokotoo msipo jikokotoa(aah)
Mkinifichia white me napindua meza
Chungu lakini dawa hamna budi kumeza
Juu ni seki lojo yule wing kateleza
Ghetto hapa nilileta watu si pa kubeza
Palizaliwa watu, pakafia watu
Paliharibika watu, pakajenga watu
Unakula unafuta, unakula tena
Pesa hazitoshi mhuni akirudi tena
Ka ulichochea ndo kauli kuchocherema
Ka uliopokea usisite kutoa tena
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wapoloo wapoloo
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii (yeah....) Wahunii (yeah....)
Wahunii
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Wapoloo (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WEUSI
Tanzania
WEUSI is a hip hop music group made up of Joh Makini, G Nako, Lord Eyes and Nikki wa Pili from Tanza ...
YOU MAY ALSO LIKE