Home Search Countries Albums

Chitaki Lyrics


We ndo kitumbua, we ndo sambusa
Basi njoo unichumu baby ndio tuseme umesusa
We ndio mwisho wa reli kwako nimeweka nukta
Walokuambia nala zuchu sio kweli wanazusha

Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko ten GB penzi ful charge
Fanya wainamaa wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainamaa wainuka
Kiguu kinyanyue kasha weka nukta

Mi kuachana na wewe
Aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Mchana nikupe tango, usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo kabla umeme hawajakata
Mapenzi mwenzie kiwango na umejaaliwa talanta
Na unanijua kwa jambo
Hatoki mtu kwa mkapa ee aah
Amuli chichichi, amuli chachachacha
Kamoyo tititi nimeozaje sasa
Amuli chichichi, amuli chachachacha
Kamoyo tititi nakuacahje sasa

Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko ten GB penzi ful charge
Fanya wainamaa wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainamaa wainuka
Kiguu kinyanyue kasha weka nukta

Mi kuachana na wewe
Aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki
Chitaki chitaki mi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Chitaki (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE