Home Search Countries Albums

Swagire

WEUSI

Swagire Lyrics


Switch… eeehhh
S2kizzy baby …
Waiter ngulich eeh
Ungana nasi mamezanire
Temana nasi kwa bekakire
Ungana nasi mamazanire
Temana nasi kwa bekakire
Skagire … swagire
Swagire … Skagire
Skagire … swagire
Swagire … Skagire
Masabire eeehh

Ungana nasi mamezanire (mamezanie)
Temana nasi kwa bekakire (Kwa bekakire)
Temana nasi kwa bekakire
Temana nasi kwa bekakire

Ni ngoma sio ya kitoto wapi IT
Mtoto unapinda vipinda menda IG
IG wafanyi ukamaliza flow ni taichi
Vijana wamekorapti medulla ita IT
Imekula wazee wakatia kenge
Imekula chupi zinawaletea unenge
Imekula hiki chura chuma ulete
Imekula ganga mungu mambo ni yente

Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo
Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo
Ungana nasi mamezanire eehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Ungana nasi mamezanire ehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Skagire … swagire
Swagire … Skagire
Skagire … swagire
Swagire … Skagire eeh

Ungana nasi mamezanire (mamezanie)
Temana nasi kwa bekakire (Kwa bekakire)
Mabalasi kwa bekachire (wabekachire)
Mabalasi kwa bekachire yeahh

Nitikitaka tuu wakinitaka tuu
Sema suu ni suuze roho zao
Wanichore na tattoo kwenye kiuno kama vivi iih (vi)
Maneno si vivi iih (V)
Brand ni ig (G)
Jina kanizidi siyo flow jay Z
Hit mimi ninazo kama zo tZ
S2kizzy hawa zimeenda am going crazy
Wakishua kapembe ukiinua mapenbe
Tunainua viwembe

Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo
Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo

Ungana nasi mamezanire eehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Ungana nasi mamezanire ehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Skagire … swagire
Swagire … Skagire
Skagire … swagire
Swagire … Skagire eeh

Ungana nasi mamezanire (mamezanie)
Temana nasi kwa bekakire (Kwa bekakire)
Mabalasi kwa bekachire (wabekachire) eeh
Mabalasi kwa bekachire

Tunaranda tumetanda tukorokoo
Walisanda pandisha bei ya sanda ni mazishi
Si mapropa propaganda zima kiki bonss bonss
Hii kali malikali yupo
Si anajua hi ni graph ya juu na haishuki
Sauti za toka soul niikidondoka ni mauyama
Unawapa kimoromboki kine umanaa
Sexy watoto kutoka kwa jos wanaitana aa
Huh tu mitindo tuu mikono juu  ee

Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo
Viburi flow viburi flow viburi flow
Hatukutani kwenye dirisha la malipoo

Ungana nasi mamezanire eehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Ungana nasi mamezanire ehh
Temana nasi kwa bekakire ehh
Skagire … swagire
Swagire … Skagire
Skagire … swagire
Swagire … Skagire eeh

Mnakaa chilling wanakaa chilling
Za minlove bands no heart fellings
Weusi si ndiioo chama tawala (abe abe)
Lazima kuugana sichama tawala (abe abe)
Maboya wapige hele hapa mjini hee ooh no no no ooh
Kaa kijanja kaskakire skagire
Pande hili unoge unogire
Hili ni kombe la hela yote
Shusha hizo chupa watu wachotee

 

 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : SWAGIRE (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

WEUSI

Tanzania

WEUSI is a hip hop music group made up of Joh Makini, G Nako, Lord Eyes and Nikki wa Pili from Tanza ...

YOU MAY ALSO LIKE