Hamida Lyrics
Uwezo wako machachari naujua mimi
Kunichanganyachanganya,tomato maini
Mixer kachumbali,mi niseme nn
Ukanitapanyatapanya,ukanitupa chin
Ivoo naogopa naogopa
Ya penzi maradhii,yananisokota
A ilooo,uno feni mota
Umeniacha mi nani,ataniokota
Hey
Uwiii hamida kaniacha,kaniacha hamida kaniacha
Cjuui ni wap ntampata,ntampata ni wap ntampata
Uwiii hamida kaniacha,kaniacha hamida kaniacha
Cjuui ni wap ntampata,ntampata ni wap ntampata
Hamida,hamida,hamida
Hamida,hamida,hamida
Hamida,hamida,hamida
Hamida,hamida,hamida
Hamida kavunja my heart
Hamida hajibu my chat
Hamida unanliza kidume kichiz,hamida kuniona hautaki
Hamida kavunja my heart
Hamida hajibu my chat
Hamida unanliza kidume kichiz,hamida kuniona hautaki
Roho yangu,wewe number one wewe number one wewe number one
Macho yangu,cion tena cion tena cion tena
Hamida,hamida,hamida
Hamida,hamida,hamida
Hamida,hamida,hamida
Hamida
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Hamida (Single)
Added By : Agripa Music
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE