Home Search Countries Albums

Showtime

WEUSI

Showtime Lyrics


Leo bam chiki bam
Leo bam chiki bam
Leo bam chiki bam
Leo 

Leo oooh, leo oooh
Leo oooh, leo aaah 
Leo oooh, leo oooh
Leo oooh

Aibu zinakatwa weka vileo
Tunaita majini pandisha leo
Ndani masinema zima video
Mauno kuzungushwa kama kombeo

Ah mama mama mama ma
Ah mama mama mama ma
Show time, show time, show time
Ah mama mama

Humu ndani hakuna kitu haina bei(haina bei)
We panda na maneno tukipanda bei(panda bei)
Na si ndo ma-con town tulipanga bei(panga bei)
Kipanga akili kali kama panga hey

Mboga ziwekwe sita aah-aah
Na kwanza ndio saa sita aah-aah
Milioni sita  ka-ta

Komaa tight up angel 
Upakatwe upekee shawty
Bata mapenzi 
Ukatwe no more story

Mwamba ni mwamba 
Tamba aringe shawty

Nice and slow wowowo 
Fashion show yeyeye
Nice and slow wowowo 
Weusi wanaball yeyeyeye

Aibu zinakatwa weka vileo
Tunaita majini pandisha leo
Ndani masinema zima video
Mauno kuzungushwa kama kombeo

Ah mama mama mama ma
Ah mama mama mama ma
Show time, show time, show time
Ah mama mama

Nimeshapiga simu, zinaibuka leo
Kitanda uperejeo, utam utende leo
Upendo upende leo, mtatweta leo
Zikija mi nakata, mtabeba leo

Si unajua king ni kingsizer
Watoto hawapendi kukinaishwa
Watoto wanapenda kufurahishwa
Kusaka na kuspendi ndo maisha

Baby kwenye kona, shuzi limenona
Mwili unatamani huo ndo upuzi wa kuoga
Nicheze kama Messi mjuzi Maradona
Sichezi kwenye kesi mjuzi wa kupona

Juzi me nabless, wanaitika yes
Ndani ni watoto vimitungi kama gesi
Wakilipuka boom, washamaliza boom
Nachukua naeka gambani nikamalize room

Aibu zinakatwa weka vileo
Tunaita majini pandisha leo
Ndani masinema zima video
Mauno kuzungushwa kama kombeo

Ah mama mama mama ma
Ah mama mama mama ma
Show time, show time, show time
Ah mama mama

Sexiest, sexy waist
Sexy nyash, sex wee
Less wiggy, cat walk
Hashikiki, utapigwa Shot

Kempinski, rooftop 
Baadaye, Bangkok(lets go)
Vidarubini, macho ya China
Wataka namba, wachore chini

She like chumvini(ooh yeah)
I like chumvini(ooh yeah)
Mi najigamba 
wataka nini?

Leo oooh, leo oooh
Leo oooh, leo aaah 
Leo oooh, leo oooh
Leo oooh

Aibu zinakatwa weka vileo
Tunaita majini pandisha leo
Ndani masinema zima video
Mauno kuzungushwa kama kombeo

Ah mama mama mama ma
Ah mama mama mama ma
Show time, show time, show time
Ah mama mama

Show time, show time, show time
Show time, show time, show time

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Showtime (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WEUSI

Tanzania

WEUSI is a hip hop music group made up of Joh Makini, G Nako, Lord Eyes and Nikki wa Pili from Tanza ...

YOU MAY ALSO LIKE