Nyumbani Lyrics
P-P-P Precious
Nafurahi nafurahi
Nnapofika ugenini
Mawazo na fikra zangu
Nimeziacha nyumbani
Hivi na mimi ni nani
Hata nisahau nyumbani
Ninaporudi nyumbani moyoni
Najiona na amani
Na kila kukicha Napandwa na hofu ya utumwa
Nikiwa kule natikisa kichwa
Kusahau siwezi mawazo ni pale pale
Nimekubali nyumbani ni nyumbani eeeh
Iwe mjini hata kijijini eeeeh
Rafiki, ndugu, na jirani weee
Daima tuombe amani eeeeh
Nasimama na nnajiamini eeeeh
Nyumbani kwetu ni pa thamani
Endelea kusimama nguvu bado ipo
Endelea kupambana tuige mfano wako
Baraka zote, sala zote ziwe juu yako
Matunda yake ni furaha nyumbani kwako
Endelea kusimama nguvu bado ipo
Endelea kupambana tuige mfano wako
Baraka zote, sala zote ziwe juu yako
Matunda yake ni furaha nyumbani kwako
Every day namwomba Mungu akupe afya tele
Upate nguvu, riziki ulete mkate tule
Daima nasali upate ada niende shule
Ulipo ni mbali unatafuta huku na kule
Upendo mbele mbele
Amani mbele mbele
Kusali mbele mbele nakuomba
Yapita sekunde dakika
Kila nikikaa hayaendi masaa
Nawaza nyumbani lini utafika
Na siku ni One, Two Three
Come back heeeeeeeeey
Endelea kusimama nguvu bado ipo
Endelea kupambana tuige mfano wako
Baraka zote, sala zote ziwe juu yako
Matunda yake ni furaha nyumbani kwako
Endelea kusimama nguvu bado ipo
Endelea kupambana tuige mfano wako
Baraka zote, sala zote ziwe juu yako
Matunda yake ni furaha nyumbani kwako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nyumbani (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE