Mama Lyrics
Siku inaanza nami kwa imani nasimama
Bado nawaza zawadi gani nipee huyu mama
Asubuhi kumekucha furaha yake siioni
Mama amechoka na mikono shavuni
Anawaza vipi ataianza siku
Majukumu mgongoni
Anapambana na dhiki
Tabasamu usoni maumivu moyoni
We mama simama
Mama simama
We mama simama
Mama simama
Namuomba Mungu akuzidishie
Akuzidishie na baraka
Akupe nguvu usikate tamaa
Akuzidishie na baraka
Vikwazo vigumu utavivuka
Akuzidishie na baraka
Kwa nguvu yake Baba utasimama
Yeah yeah yeah
Mama huyo, furaha ya moyo wangu
Mpendwa wa maisha yangum, mpambanaji wangu
Mama huyo, furaha ya moyo wangu
Mpendwa wa maisha yangum, mpambanaji wangu
Not ready to go, not ready to go
Away from you mama
Not ready to go, not ready to go
Away from you mama
I’m not ready to let you go, off my life
Always praying to see your amazing smile
Stay young forever mama
I’m not ready to let you go, off my life
Always praying to see your amazing smile
Stay young forever mama
Daima mama ni nguzo yangu
Mapito mengi napita nawe
Kwa dhiki na faraja umekuwa nami
Uliza kila mmoja nani hajui?
Daima wewe ni nguzo yangu
Namuomba Mungu akuzidishie
Akuzidishie na baraka
Akupe nguvu usikate tamaa
Akuzidishie na baraka
Vikwazo vigumu utavivuka
Akuzidishie na baraka
Kwa nguvu yake Baba utasimama
Yeah yeah yeah
Mama huyo, furaha ya moyo wangu
Mpendwa wa maisha yangum, mpambanaji wangu
Mama huyo, furaha ya moyo wangu
Mpendwa wa maisha yangum, mpambanaji wangu
Not ready to go, not ready to go
Away from you mama
Not ready to go, not ready to go
Away from you mama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mama (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE