Ni Salama Lyrics
Nina kila sababu kurudisha sifa kwako
Kwavile we umenifaa
Maana kila jawabu na magumu nnayopitia
Wewe umenipa
Hakika we ni mwema
Mtetezi wa zangu shida
Unanipigania kila mara
Hakika we ni mwema
Mtetezi wa zangu shida
Unanipigania kila mara
Umeniepusha na maadui
Umenipa nguvu ya kupambana
Umeniponya na Corona
Umeniepusha na maadui
Umenipa nguvu ya kupambana
Umeniponya na Corona
Nasimama napambana
Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Nasimama napambana
Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Nikiwa nawe maishani mwangu
Daima nawe ni salama
Nikiwa nawe maishani mwangu
Daima nawe ni salama
“Nashukuru sana”
Yeeeeeeee yeeee oooh……
Ni salama hata nkifika mwisho
Amani moyoni ninayo nisalama
Siogopi magumu na vitisho
Upendo wako umetawala ni salama
Ona marafiki nao waliniacha
Nikapata dhiki pesa zika kacha
Japo ni magumu ila ni salama
Nilicheka nao kula nao kunywa nao sema nao
Kwenye shida wakaondoka
Wakansonya wakandharau
Kwako najiweka njia zako ni salama
Heeeeeeee……
Nikiwa nawe maishani mwangu
Daima nawe ni salama
Nikiwa nawe maishani mwangu
Daima nawe ni salama
“Nashukuru sana”
Heeeeeeeeeee..ashukuru
My lord………Mungu wangu
Ona marafiki nao waliniacha
Nikapata dhiki pesa zika kacha
Japo ni magumu ila ni salama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ni Salama (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE