Twende Lyrics
Leo ni siku kubwa kwangu
Nimeona upendo mkuu
Naufuata upendo wake
Leo ni siku kubwa kwangu
Nimeona upendo mkuu
Naufuata upendo wake
Anaatua matatizo yetu
Anafungua milango kwa wote
Atasafishwa waliokosa
Na kusimamisha ukidondoka
Bora ninajua
Mikononi mwake nipo salama
Ni vyema natambua
Ananipigania usiku na mchana
Daima mbele sirudi nyuma
Sitadhubutu kukata tamaaa
Amka, simama twende
Jipige mkono kifuani
Kwa imani twende
Pamoja
Tumeitwa arata
Itwa arata
Tumeitwa arata
Itwa arata
Amka, simama twende
Jipige mkono kifuani
Kwa imani twende
Pamoja
Tumeitwa arata
Itwa arata
Tumeitwa arata
Itwa arata
Twende, twende
Twende pamoja
Twende, twende
Twende pamoja
Maisha yetu leo
Yemetekwa na dhiki kuu
Maradhi chuki na
Upendo umetoweka
Amka simama twende
Alpha na Omega yeye
Amka simama twende
Alpha na Omega yeye
Daima mbele sirudi nyuma
Sitadhubutu kukata tamaaa
Amka, simama twende
Jipige mkono kifuani
Kwa imani twende
Pamoja
Tumeitwa arata
Itwa arata
Tumeitwa arata
Itwa arata
Amka, simama twende
Jipige mkono kifuani
Kwa imani twende
Pamoja
Tumeitwa arata
Itwa arata
Tumeitwa arata
Itwa arata
Usikate tamaa simama twende
Usikate tamaa simama twende
Nguvu tunayo
Na nia tunayo
Malengo tunayo
Na Mungu tunaye
Ni-ni-ni Precious pamoja
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Twende (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE