Mtoto Lyrics

Oooh oooh
Jay once again
Iikuwa kula kusoma kucheza
Vingi nilivitamani kuvipata vililetwa
Nawala sikuzani hizi siku zitafika
Sikuwa na mashaka ka itaenda miaka
Now nimekuwa nimetambua
Utu uzima dawa
Sio maua
Leo natamani nisingekuwa
Utu uzima dawa sio maua
Bora zamani nilivyokuwa mtoto
Aah zamani nilivyokuwa mtoto
Bora zamani nilivyokuwa mtoto
Aah zamani nilivyokuwa mtoto
Oooh naaaahh
Kuwa uyaone niliambiwa
Dunia inamengi sana
Usione mtu kainama oh
Wasaka tonge wanapambania
Hapa mjini lawama
Tena kuna muda unaumia sana ooh
Ilikuwa easy uko nyuma
Rahisi sana
Time hizi ndo zamu yangu
Ya kupambana
Hata nikimiss hakuna jinsi
Vile ntafanya
Mungu ibariki ridhiki yangu
Fungua mianya
Now nimekuwa nimetambua
Utu uzima dawa
Sio maua
Leo natamani nisingekuwa
Utu uzima dawa sio maua
Bora zamani nilivyokuwa mtoto
Aah zamani nilivyokuwa mtoto
Bora zamani nilivyokuwa mtoto
Aah zamani nilivyokuwa mtoto
Boora zamani
OOOh oooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE