Home Search Countries Albums

Zingatia Engo

NACHA

Zingatia Engo Lyrics


Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo
Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo

Engo ni muhimu siku hizi
Simaa nishi engo
Ya black nyingi kama bizzy
No no no no
Engo ni umakini, ukiwa kazini
Ukileta papara kazini utapigwa chini
Mabosi hawapendagi loss
Engo muhimu bwana chunga usilosti ikakukosti
Tuko kwenye taifa ambalo vijana ni wazembe
Na ajira ni ngumu kupata kazi kimbembe
Kinachokupa furaha kilinde
Zingatia engo kwenye afya mwanba jitunze
Iwe mvua, iwe jua we kamisha lengo
We jifanye fala mwana we zingatia engo haya twende

Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo
Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo

Man man man man, shida hazima ndugu man
Tena hazina hodi wala ndugu yake hajulikani
Uvivu no uzembe so zingatia engo bro
Kaza roho usiombe poo zingatia engo bro
Loss profit eeh biashara
Ila ukiwa makini unaweza punguza hasara
Tuko kwenye taifa ambalo vijama ni wazembe
Na ajira ni ngumu kupata kazi kimbembe
Kinachokupa furaha kilinde
Zingatia engo kwenye afya mwanba jitunze
Iwe mvua, iwe jua we kamisha lengo
We jifanye fala mwana we zingatia engo haya twende

Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo
Zingatia engo, oya engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo

Tuko kwenye taifa ambalo vijama ni wazembe
Na ajira ni ngumu kupata kazi kimbembe
Kinachokupa furaha kilinde
Zingatia engo kwenye afya mwanba jitunze
Zingatia engo
Wahuni mmeona engo
Zingatia engo
Wahuni mmeona engo, hiyo engo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Zingatia Engo (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NACHA

Tanzania

Nacha Ousam is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE