Amina Lyrics
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
Una majina mengi Baba
Una majina mengi ooh
Na majina yako yana maana kubwa kwetu
Una majina mengi ooh, majina Baba
Na majina yako yana maana kubwa kwetu
Nikuite Shalom amani yetu
Osehenu, muumbaji wetu
Helo Henu, bwana na Mungu wetu
Shaboth muhifadhi wetu
Nikuite Rohi mchungaji wetu
Oh Shammah Bwana unayeishi
EL-GIBHOR Mungu mwenye nguvu
Nissi bendera yetu
Umbali umenifikisha
Ni Ebenezer Adonai kiongozi wetu
Ninapenda mimi kutaja majina yako
Maana ni majibu ya maombi yangu
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
Majina yako Mungu wangu
Yana nguvu za ajabu
Unapoyataja yanafanya mabadiliko
Ye anageuza geuza mambo kuenda sawa
Upewe sifa Mungu wangu
Nikuite El Elyon mkuu sana
Jiwe watupa mahitaji yetu
Mekoddishkem Mungu utakasaye
Helo Henu Mungu wetu
Istekenu mwenye haki
El Olam Mungu wa huruma
Elohim Mungu muumbaji
El Shaddai oh wewe mkuu
Napenda napenda kuimba majina yako
Maana yananipa nguvu niendelee baba
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Amina, Amina aah
Amina, Amina aah
Amina Jehovah mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh
Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Amina (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE