Home Search Countries Albums

Nidonoe

RICH MAVOKO

Nidonoe Lyrics


I want to touch your body, nidonoe
I want you baby, nidonoe
Oyah whine for me, nidonoe
Asa nyonga baby, nidonoe

Twende mpaka chini, nidonoe
Nataka be my baby, nidonoe
Na anang'ara bikini, nidonoe
Mpaka kwenye begi, nidonoe

Naweka nukta aah na kibanda najenga
Bondi duka na vicent vya mpemba
Alivyo binuka, na mvalia kiremba
Amechanuka, nakabananisha chemba

Iyo lips Anjelina Jolie
Your my African Lady
Kasura ka-kihindi kama kachori (Chori)
Hana mambo ya kienyeji

Mtamu ka kiporo ooh! (Mayo ooh! ananisokota)
Anafinya godoro (Mayo ooh! ananisokota)
Ananichezesha ndombolo (Mayo ooh! ananisokota)
Miuno fulani ya kipogolo (Mayo ooh! ananisokota)

I want to touch your body, nidonoe
I want you baby, nidonoe
Oyah whine for me, nidonoe
Asa nyonga baby, nidonoe

Twende mpaka chini, nidonoe
Nataka be my baby, nidonoe
Na anang'ara bikini, nidonoe
Mpaka kwenye begi, nidonoe

Risasi kama mia namimina eeh! (Eeh! namimina)
Kifo cha mende namimina weeh! (Ooh! namimina)

Una nying'inyiga kwa michezo yako
Na ulivyo na figa nimefika kunako 
Yani kimanumanu (Kiwewe eeh!)
Unanirukisha na (Seng'enge)
Nimepandwa na hamu (Nalege)
Hebu saula (Hilo tenge )

Mtamu ka kiporo ooh! (Mayo ooh! ananisokota)
Anafinya godoro (Mayo ooh! ananisokota)
Ananichezesha ndombolo (Mayo ooh! ananisokota)
Miuno fulani ya kipogolo (Mayo ooh! ananisokota)

I want to touch your body, nidonoe
I want you baby, nidonoe
Oyah whine for me, nidonoe
Asa nyonga baby, nidonoe

Twende mpaka chini, nidonoe
Nataka be my baby, nidonoe
Na anang'ara bikini, nidonoe
Mpaka kwenye begi, nidonoe

Juu ninakaba mpaka penati (Nakamia o, nakamia)
Mpira wa kona napiga dochi (Nakamia o, nakamia)
Utautafuta hata kwa tochi (Nakamia o, nakamia)
Nimepata michuzi namwaga pochi (Nakamia o, nakamia)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nidonoe (Single)


Copyright : (c) 2021 Billionaire Kid


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RICH MAVOKO

Tanzania

RICH MAVOKO is  a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE