Home Search Countries Albums

Pisi Mawenge

MOTRA THE FUTURE

Pisi Mawenge Lyrics


Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge

Mtaani wanamwita p (pili)
Pisi mawenge
Mtaani wanamwita p (au paula)
Pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge

Anaitwa pisi mtoto wa kiwalani dar
Kipindi flani nlikutana nae msasani
Back staje akaniambia kaka samahani, daah
Naomba namba yako maana nimekutamani
Natamani kuwa nawe, acha nipagawe
Maana akitembea motto nyuma anarusha mawe
Na nna nyumba ya vioo
Kidogo ingepasuka
Hasa aliposema atakuwa name mpaka kufa
Bhana kumbe huyo p
Ni pisi ya wahuni
Ukiwa bishoo, anakuwepa kapuni
Ashazoe vita mambo ya mtama ngumi
Mabwana kama kumi washamfua tamaduni
Na bado hakoni demu wa vikosi shazi
Alishakuwa na ssk kabla ya kikosi kazi
Akapigwa mande na zaidi na wakazi
Na akaja akawakana mbele ya maparazi
Ye ni fun wangu anapenda nnavyospit
Tatizo kwenye kutulia hawezekaniki
Mi ananiganda si amenizalia kabinti
Ila ana skendo chafu saana hapo striti
Shoga ake anaitwa mex anarangi kama pasta (makaroni)
Juzi alikuwa single leo yuko na mapacha
S A nlimpeleka akamganda saana caspa
Nikaona pisi ina mawenge nikafunga chapta
Anapenda mapenzi ya kurusha knife
Kila siku makelele ndani kama mna hipe
Page yake zamani nilishaswipe
Karudi tena leo anataka kuwa my future wife
How???

Mtaani wanamwita P (pili)
Pisi mawenge
Mtaani wanamwita p (au paula)
Pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge

Alishakuwa na duke, akaja mujwahuki
Sijamoka akakaza kaza sana buti
Ye ndo kungwi wa ambaruty
Wahuni wananyuti
Anasili nao na atawapa saana mbuchi
Cha zaidi aliachana na mchizi wangu
Akaja kwangu leo anawataka kaka zangu
Sijui anamtaka nikki, Lord G ama joh
Motto ana shobo hadi wakanionya ma bro, mo
Huyo pisi ana mawenge hakufai
Juma necha akaniambia atakuunguza na chai
Alikuwa weupe kuja weusi akawa spy
J mo naskia nae kimya kimya kala dry
Safari ya mguu mmoja hivi kweli tutafika
Mziki haunogi ukiwa na style moja ya kukatika
Sawa anajua kufua, na anajua kupika
Ila wapenzi wake sio wa kuhesabika
Kaungua ndo story inayosemakanika
Maana kila anayetembea nae tunazika
Nikki alijidai mbishi hakusikia
Juzi kati futi sita tukamfukia
Ni kweli kaumbika ana macho ya kufosi
Na kila kilinge cha marapa humkosi
Na ni kama anagundu ukiwa nae hautoki
Bunduki si alimpitia amebaki kukoki
Wala hapendi pitsaa ye ni miss hip jop
Ukishampa kaya ye anajua ku keep hope
Hataki hela yako ye ni cheap chicka
Aliachana na maarifa alivyoenda tip top, connection
Tukapata connection
Video zake za ngono zikatujia collection , Wakemmention
Ye ndo aliachia selection
Ndo picha inanijia sasahivi anataka attention
How???

Mtaani wanamwita P (pili)
Pisi mawenge
Mtaani wanamwita p (au paula)
Pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge
Pisi pisi, pi pi
Pisi pisi, pisi mawenge

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Baba Ako (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MOTRA THE FUTURE

Tanzania

Motra The Future is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE