Moyo Wangu Tulia Lyrics

Nimechoka sio siri sina kodi sina kipato
Ukicheki upande wa pii mwenye nyumba anatoa macho
Imeandikwa nitazaa kwa uchungu sasa mbona nakula kwa jasho
Na sio kwamba sijitumi najitoa kimasomaso
But people don’t care (don’t care, don’t care)
Life is not fair (not fair, not fair)
Eh na mimi ndio tegemeo kwenye familia
Kwetu mpaka vipofu mimi wananiangalia
Najiuliza nifanyaje maana sina idea
Ila nkiwaza mabaya kuna roho inaniambia
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Yote ni kwa mipango ya mungu na yeye hawezi kuaibika
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Unaamua kupenda ukihisi utapata fuhara
Mnashare vitu kibao mpaka unaamua kuzaa
Unampa muda mtu a mbaye hajui thamani ya saa
Mwisho anaacha nyama anaenda kufata dagaa
You trynna change your life but you don’t see changes
You better work hard time will come and God will bless
Eh na mimi ndio tegemeo kwenye familia
Kwetu mpaka vipofu mimi wananiangalia
Najiuliza nifanyaje maana sina idea
Ila nkiwaza mabaya kuna roho inaniambia
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Yote ni kwa mipango ya mungu na yeye hawezi kuaibika
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Oyaa wanangu nimechoka
Maisha yangu yanatisha
Ata nikitembelea nyota
Traffic ananisimamisha
Nikiwaza nilipo tokea nlipo tokea
Ata ukikaa kimya utaskia acha kuongea
Wanangu nilipotokea nilipotokea
Bubu anaona wivu akiona pesa inaongea
Unaweza ukatembea peku adi ukaonekana mchafu
Akati duniani kuna watu na viatu
Kaza roho bana maisha yako tafu
Wachezaji wa maji maji awajaoga siku tatu
Kuna kipindi nlisota akili ikachoka
Adi nkienda shambani naona meno yanaota
Jamani nlikongoroka mwili ukanyooka
Ata unipe nauli siwezi rudi nliko toka
Na mimi ndio tegemeo kwenye familia
Kwetu mpaka vipofu mimi wananiangalia
Najiuliza nifanyaje maana sina idea
Ila nkiwaza mabaya kuna roho inaniambia
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Yote ni kwa mipango ya mungu na yeye hawezi kuaibika
Moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia
Tulia tulia tulia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Moyo Wangu Tulia (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE