Masihara Remix Lyrics

(Kimambo on the beat)
Man unagaa gaa na upwa
Unazagaa zagaa kama umbwa
Msukule unagaa gaa na pumba
Utajiri wa mdomo huna hata ka-chumba
Unataka mchumba, vipi utahudumia?
Huna hata mavumba, huna hata matunda
Sa' wazazi watakula nini, sijui mimi
Nakuwazia utajibu nini kwa Muumba
Watoto wa Mungu
Hatukwami hatufeli
Hatuzami
Hata kama tupo katikati feli
Bado tunakiwaza hadi sheli
Na baraka za mitaa
Ndio taa ya kufanya kweli
Si masihara mpaka zulu sema yebo
Mitaa imekubali mmoja anasema let's go
Msanii mkubwa enter source kama label
Na leo tupo zetu bata point hapa rainbow
Wanahofia nikija
Nawakimbiza
Nami kila nikija
Nawakimbiza
Tunang'aa kwenye radio na TV
Bila masihara
Hawapendi kuniona nipo hivi
Kwa roho zao mbaya
Mi nang'aa kwenye radio na TV
Bila masihara
Hawapendi kuniona nipo hivi
Kwa roho zao mbaya
[Idris Sultan]
Mmmh! hampati na natesa
Uko wapi wewe ambaye ulikuwa unateta
Ulitabiri huu ni mwisho wangu wa kusepa
Nikiwepo tu unacheka
Nikiondoka unaniteta
Kiti changu hakikaliwi
Kiatu changu hakivaliwi
Tena nawe bishoo
Ambaye hung'ai bila Kiwi
Unayekesha kumwomba
Mungu mbona sifiwi
Star ambaye hata ukienda coco
Na mguu haushangiliwi
Mwanaume umekazana my my
Mwanaume mzima spy why
Hizi mambo nini shy shy
Mi ni mbaya hadi sifai-fai
Nimeshakuja fala bye bye
Naperuzi bila bundle, we jua mjini mipango
Hichi kipara sikupewa tu kama ni pambo
Acha nifunge magoli yangu usinipangie kiwango
Wakati nakuja mjini kwani ulinipatia mchango
Wanahofia nikija
Nawakimbiza
Nami kila nikija
Nawakimbiza
Tunang'aa kwenye radio na TV
Bila masihara
Hawapendi kuniona nipo hivi
Kwa roho zao mbaya
Mi nang'aa kwenye radio na TV
Bila masihara
Hawapendi kuniona nipo hivi
Kwa roho zao mbaya
Bila masihara
Roho zao mbaya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Masihara Remix (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE