Home Search Countries Albums

Fyeka Lyrics


Okay!
Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Leo ndo naanza kufyeka kha leo utacheka
Vile nimejipanga hawa wanga kuwafyeka
Ukitaka kufanikiwa fyeka manunga’uniko
Fyeka uvivu
Pia majungu mwiko
Niko shambani napalilia na kufyeka magugu
Fyeka fake friends
Fyeka mandugu
Fyeka virusi
Fyeka wadudu
Na hii ndo serikali yangu so kufyeka nnamudu
Unaweza kuwa na mungu bila kumfyeka shetani
Namfyeka
Kabla hajanitoa kwenye ramani
Kitu pekee siwezi kufyeka ni familia na money
Hata uwe nani nakufyeka
We ni nani?
Kwanza fyeka unda mpya
Naona unanicheka we ni mnafki
Usiniletee kasumba
Nafyeka pumba
Najenga nyumba
Na kama we ni mpenzi feki nafyeka mbwa nafyeka
Nataka nibaki mweupe
Kaa mbali na mimi usinigande we kupe
Na kama huna mishe na mimi
Ya kueleweka ukanicheki ukaona kimya
Ujue tayari nshakufyeka

Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Oh yeah yeah ooh
Oh yeah yeah ooh

Mimi sitaki presha nataka pesa
Nataka kuona roho yangu inapeta  
Sitaki kusepa, Mapema
Ndo maana nnfyeka karaha rah raa

Hufanikishi unahaso mpaka na sarakasi
Kumbe kuna watu wa karibu ndo wanaua harakati
Usiogope kufyeka labda kisa wana jax
Shika lesso kisha wapenge kama kamasi
Chalii mapenzi yasikufyeke
Hadi ukamsahau mama ako
Hela zisikufyeke hadi ukasahau wanako
Ukasahau ulipotoka ulivysota kule ambako
Wana walikuombea kukipata kile unacho

Kuna watu, wa ajabu
Wanadhani sisi
Tuko mjini kuwasindikiza kwenye mafanikio
Tarata tataaa (Fyeka)
Tarata tataaa taa taa taa
Fyeka, Fyeka, Fyekelea mbali
Tarata tataaa taa taa taa
Fyeka, Fyeka, Fyekelea mbali

Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Hata kama ni rafiki ila maishani hakusaidii fyeka
Hakuhurumii fyeka
Waleta usanii fyeka
Wenye mawazo mayai ila hayatamii fyeka
Fyeka fyekelea mbali

Oh ohh ohh ohh…
 Oh ohh ohh ohh…

Mimi sitaki presha nataka pesa
Nataka kuona roho yangu inapeta  
Sitaki kusepa, Mapema
Ndo maana nnfyeka karaha rah raa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Fyeka (Single)


Added By : Olivier Charly

SEE ALSO

AUTHOR

MOTRA THE FUTURE

Tanzania

Motra The Future is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE