Yamenizidia Lyrics
Oh mapenzi, we mwenyewe unajua yanaumiza hatari
Yanaumiza hatari
Oh mapenzi ukija kuingia
Nakupa tahadhari, nakupa tahadhari
Akikolea balaa, tena furaha
Yaani furaha
Kuna watu wanaposti majeraha
Yaani karaha hawana furaha
Tena ukajiona unapendwa
Wakikutumia wanakuona kinyaa
Na wengine hadi tattoo wamechora
Yakisha wakuta wanajuta balaa
Najipa imani, nitapona, nitapona
Ila sitamani, nitapona, nitapona
Eeh vibaya, yamenizidia
Yamenizidia, yamenizidia
Wakati unawaza kumpenda pengine
Mwenzako anawaza kumposti mwingine
Lakini bado utahudumia mengine
Aah utashindwa kutambua umuhimu pengine
Atakupanda kichwani ili mapenzi uyachukie
Kiti atapanda shetani
Utaona bora umchunie
Najipa imani, nitapona, nitapona
Ila sitamani, nitapona, nitapona
Eeh vibaya, yamenizidia
Yamenizidia, yamenizidia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Yamenizidia (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MAVOKALI
Tanzania
Ben Mavokali, stage name "Mavokali" also known as CHINEDU or Hit BOY is an artist fr ...
YOU MAY ALSO LIKE