Home Search Countries Albums

Yakowapi

MAVOKALI

Yakowapi Lyrics


Ah! Eti nikuite hodari
Ukileta kipepeo nikupepee
Stimu zinawaza kwenda mbali
Nami nikate koba nitembee

Maisha yangu sadari
Kutwa kukimbizana na wazee
Sometimes kabari gizani

Ona maisha ya ku act yana cost
Ah, ninakuchana sijivungi maah 
Unataka B-day nikusposti
Naacha tochi nyuma, akifungi mama

Kula kwangu moja ngoma 
Nitaanzaje ku believe
Maisha ya mdomo mbele kushona
Kifuani maumivu

Yako wapi iii (Mmmh)
Uko wapi iii(Aaah)
Yako wapi iii (Mmmh)
Uko wapi iii(Aaah)

Umechagua kunipenda sikatai
Ila kama una presha kaa mbali
Ukinikuta maeneo sifai
Nishavesha misunjo mikali

Morali kama yero subai
Ng'ombe ukijileta nachepa makali
Unataka mi ninyonge tai
Yasije kuwa ya Mondi na Zari

Ona maisha ya ku act yana cost
Ah, ninakuchana sijivungi maah 
Unataka B-day nikusposti
Naacha tochi nyuma, akifungi mama

Kula kwangu moja ngoma 
Nitaanzaje ku believe
Maisha ya mdomo mbele kushona
Kifuani maumivu

Yako wapi iii (Mmmh)
Uko wapi iii(Aaah)
Yako wapi iii (Mmmh)
Uko wapi iii(Aaah)

Ukiamua kubaki na mimi(Haya sawa)
Ukiamua kwenda mbali(Mimi nita retire)
Ukiamua kubaki na mimi(Sawa haya)
Ukiamua kwenda mbali(Kwenda mbali na yeye)

Mi nitaretire, ona nitaretire...

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Yakowapi (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAVOKALI

Tanzania

Ben Mavokali, stage name "Mavokali"  also known as CHINEDU or Hit BOY is an artist fr ...

YOU MAY ALSO LIKE