Bado Nampenda Lyrics
Moyo wangu umepoteza furaha
Amani sina tena (Sina tena)
Masikini penzi langu
Kazima nyota ya jaa
Kanimwaga kanitema
Naishi kwa kutapa tapa, anajifanya haoni
Chanzo yeye ananizingua
Nakaribia kudata yamenifika shingoni
Narudi japo nipo niugua
Au tatizo mi sina
Yaani mi sina (Haya sawa)
Kachotaka nini nina
Nimechacha nimechina (Haya sawa)
Ukimwona mwambieni
Bado nampenda, Bado nampenda
Bado nampenda, Bado nampenda
Ah, nilijifanya maharufu
Penzi sherehe kwa madufu
Ona kakivunja kibubu
Ah mi nateketea
Sauti yake ya kasuku
Yaani gear huku na huku
Nikizivuta kumbu kumbu
Ah zinanivutia
Nalikumbuka tu jina
Ameumiza mtima
Akilingoa na shina
Oooh jamani
Naishi kwa kutapa tapa, anajifanya haoni
Chanzo yeye ananizingua
Nakaribia kudata yamenifika shingoni
Narudi japo nipo niugua
Au tatizo mi sina
Yaani mi sina (Haya sawa)
Kachotaka nini nina
Nimechacha nimechina (Haya sawa)
Ukimwona mwambieni
Bado nampenda, Bado nampenda
Bado nampenda, Bado nampenda
Mwambieni, mwambieni
Nyie mwambieni
Nampenda sana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Bado Nampenda (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MAVOKALI
Tanzania
Ben Mavokali, stage name "Mavokali" also known as CHINEDU or Hit BOY is an artist fr ...
YOU MAY ALSO LIKE