Baba Jeni Lyrics
Hivi wewe hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi, kweli siwezi
Kukupa moyo
Eti tuwe wawili wawili
Hizo share siwezi
Kwenye mapenzi utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje pisi kali ya kwenda
Tena nina jina mimi
Nakuhifadhi unavimba, unavimba
Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Kwako nilijikwaa
Kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
Basi show ata ungeweza
Ila nilituliza tu kamoyo kangu
Kebehi na gubu
Sina raha roho juu juu
Baba utaniua kibudu
Bora nidisappear
Ey umesema ndo nanona
Aloniteka amesoma
Master ya mapenzi
Sio Diploma ananipa mie
Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, bye bye
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Baba Jeni (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE