Home Search Countries Albums

Amen

MAUA SAMA Feat. BEN POL

Amen Lyrics


Aaaahhhh .....

Babe wajua
Leo nina furaha baby eee
And you is all I want
And I don’t need someone else baby eeh

Nipe nipe nipende kipekee
Nitunze kwa moyo wote
Name mapenzi nikupe
Sikuachie hata sekunde
Na hisia zangu zakuita
Uingie moyani
Nawe uwe mwanga wanga kumulika
Unitoe gizani
Kwasababu niwe eeh  tu
Niwe ehe tu
Nimpendae niwe ee tu oooh daily
Kwasababu niwe eee tu
Niwe ee tu
Nimpendae niwe ee tu
Oooh
Niwe ee tu
Nimpendae niwe ee tu
Wifey

[CHORUS]
A tubariki amen eeh
Na atulide amen eeh
Atuongoze amen eeh
Milele yote amen eeh
Wote tuseme amen eeh


Walidhani siikufai
Leo wanashanga ni siki yetu my baby
Ndoto imekua
Hata familia wanafurahi my baby
Vile umeniwahi
Kote wanikaa
Shingoni kama tai (Taii taii eh)
Na leo najidai
Heshima ulinipa
Ya kuwa mwenzi wako milele
Daima (mama wee)
Ntakulinda (mama wee)
Sina sababu, (mama wee)
Yakukutenda

Moyo wangu ni wako
Nimekukabidhi pekee yako
Wewee funga wa kwako
Nifuranchie pendo lako
Na hisia zangu zakuite uingie moyani
Nawe uwe mwanga
Wangu kumulika unitoe gizani
Kwasababu niwe eeh tu
Niwe eehe tu
Nimpendae niwe ee tu
oooh  eeeh
Kwasababu niwe ee tu
Niwe we tu
Nimpendae niwe ee tu
Wifey

[CHORUS]
A tubariki amen eeh
Na atulide amen eeh
Atuongoze amen eeh
Milele yote amen eeh
Wote tuseme amen eeh

Amen eeeehe… Amen eeeeh…
Hooo babe

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Amen (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

MAUA SAMA

Tanzania

MAUA SAMA  is an artist from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE