Nipo Single Lyrics

Fimbo ya mbali haiui nyoka
Nyonga sadari unipande nzuka
Haina kiki haina drama
Kuku kafa kwa kideli
Ndo apate jiki fupa geuka nyama
Kwangu hainaga kufeli
Parapanda yaani bora iwe mwisho
Kila mtu afe na chake
Giza tanda kuna leo na kesho
Ya nini kubishana maneno?
Namshukuru Mola wangu
Kaninyima ugonjwa wa kumbembeleza
Mbili zako moja yangu
Sina uoga kabisa wa kupoteza
Nipo single, nipo single
Nanenepa mie, sina stress hata kidogo
Nipo single, nipo single
Naza sishindani na jiwe
Nipo single, nipo single
Nanenepa mie, sina stress hata kidogo
Nipo single, nipo single
Naza sishindani na jiwe
Nilimkata kamba unatafuna karanga
Unataka na kuongea
Kuna shuka na kupanda
Timbewili majanga moto kuni unachochea
Mwenye macho haambiwi tazama
Kusoma sijui ila picha nishaiona
Mtaka cha mvunguni kainama
Mbona ulipochana haujapashona eeh
Namshukuru Mola wangu
Kaninyima ugonjwa wa kumbembeleza
Mbili zako moja yangu
Sina uoga kabisa wa kupoteza
Nipo single, nipo single
Nanenepa mie, sina stress hata kidogo
Nipo single, nipo single
Naza sishindani na jiwe
Nipo single, nipo single
Nanenepa mie, sina stress hata kidogo
Nipo single, nipo single
Naza sishindani na jiwe
Umenibagua kama vazi usilolipenda
Umeniweka kando
Na ukijua umebomoa hujajenga
Umevuruga mipango
Am single, am single
Kaa ukijua, juaga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nipo Single (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE