Niteke Lyrics
(Kimamba on the beat)
Kwako tetere nishazubaa
Nipe mchele, usinipe chuyaa
Uwache pele, tuliza pupa
Oooh oooh
Usije ukaniua titiri oooh
Oooh nishakupa vyote vyako(Ooh lalala)
Mautam mamnato(Ooh lalala)
Niteke! mateka niteke
Niteke! niteke teke niteke
Niteke teke! mateka niteke
Niteke! ooooh...
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Uma fiti, nidhibiti
Ukimumunya pipi
Utamu wa kisiginoni
Nichikiche nichikichi
Na shovu nnje ya kiti
Leo unakesha kilindoni
Nitwange nipepete
Nisage nichekeche
Nikande niumbuke
Kilima nipandishe
Kibinda mkoi mkoi(Aaaee eeh)
Kiwinda pori pori(Aaaee)
Naringa doli doli(Aaaee eeh)
Mawinga chori chori
Niteke! mateka niteke
Niteke! niteke teke niteke
Niteke teke! mateka niteke
Niteke! ooooh...
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Mateka niteke
Niteke teke niteke
Mateka niteke
Ooooh...
Mwaga mwaga ma!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Niteke (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE