Home Search Countries Albums

Niteke Rmx

MAUA SAMA Feat. HARMONIZE

Niteke Rmx Lyrics


Hahaha Jeshi, Konde Boy
(Kimambo on the beat)

Kipele kimegeuka kindonda
Ndonda ndonda eeh
Usichanganye na mdele mwenzako nitakonda eeh
Konda konda eeh

Ninakonda mara sisi sisimka
Nikipitisha ulimi kwenye ziwa(Nyasa)
Bi-bi binuka
Miguu kichwa chini nachanganyikiwa

Tena usiku si hatulali
Nampa mambo adim adim dim
Sio kimoko chali
Mikono ipo kwa sim sim sim

Ongeza feni mama nasweti eeh(Niteke)
Tuchuane kama kareti(Niteke teke)
Ngololo malewa shakushaku
Sikurekodi mi ni jeshi si mwijaku

Zilisha mnyama
Mwaga mwaga ma 
Zilisha mnyama
Mwaga mwaga ma 

Uma fiti, nidhibiti
Ukimumunya pipi
Utamu wa kisiginoni

Nichikiche nichikichi
Na shovu nnje ya kiti
Leo nakesha kilindoni

Nitwange nipepete
Nisage nichekeche
Nikande niumbuke
Kilima nipandishe

Kibinda nkoi nkoi(Aaaee eeh)
Kiwinda pori pori(Aaaee)
Naringa doli doli(Aaaee eeh)
Mawinga chori chori

Niteke! mateka niteke
Niteke! niteke teke niteke
Niteke teke! mateka niteke
Niteke! ooooh...

Zilisha mnyama
Mwaga mwaga ma 
Zilisha mnyama
Mwaga mwaga ma 

Mateka niteke
Niteke teke niteke
Mateka niteke 
Ooooh...

Kimambo, they call me Jeshi(Bunge)
Leo mjukuu kala majuto
Siku zote sindano inakaaga mbali na puto

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Niteke RMX (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAUA SAMA

Tanzania

MAUA SAMA  is an artist from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE