Home Search Countries Albums

Sorry Lyrics


M Nex

Ulikuwa ni mpenzi wangu
Na Moyo wako haukuwa mbali na mi
Nilidhani utakuwa wangu
Na ndoto zangu zinafeli yani siamini
Hata uki-post, naona unanisema Mimi, naishi kwa kujishuku
Na wala sio mbali, ni juzi tu, ulikuwa Na mi
Tulipiga picha wewe na mi, Penzi Likashamili
Na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili

Oh baby! Sorry! , Sorry! Sorry
Oh now I'm worrying, worrying ,worrying
Oh baby Sorry, Sorry, Sorry
Oh now I'm worrying, Worrying, Worrying

Namiss zile snap chat ulinitumia
Video call night ulinipigia
Namiss tabasamu lako , sio utani naumia mwenzako
Na utakua unafeli kama ukinichunia
SMS haujibu ata nikikutumia
So Fanya tuyajenge mana nimekosea
I promise, siwezi kurudia
Tulipiga picha wewe na mi, Penzi Likashamili
Na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili

Oh baby! Sorry! , Sorry! Sorry
Oh now I'm worrying, worrying ,worrying
Oh baby Sorry, Sorry, Sorry
Oh now I'm worrying, Worrying, Worrying

It's a trap house records

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Sorry (Single)


Added By : M Nex Nex I

SEE ALSO

AUTHOR

M NEX NEX I

Tanzania

Nehemiah Shukuru Senyagwa, better known as M Nex Nex I, is a Singer, Rapper, Songwriter, TV & Ra ...

YOU MAY ALSO LIKE